Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Siwezi kuweka humu masuala nyeti ya wizara ya katiba na sheria pamoja na mambo ya nje. Aliyeshughulikia suala hili na Tanzania ikashinda kesi kwa Malawi kuingia mitini ni Hamza Johari kwa sasa ni mwanasheria mkuu wa Tanzania AG.Weka hapa tuzijali...usiongelee vitu vya kusadikika
Sawa basi.Ndugu umetaza ramani vizuri?
Ziwa linapakana na nchi tatu, sio nchi mbili. Kuna Malawi, Tanzania na Msumbiji.
Kwanini mpaka wa zamani ulionyesha Msumbiji hana umiliki wa ziwa lakini leo ana umiliki wa ziwa? Jibu ni kuwa ilibidi Msumbiji aombe umiliki wa ziwa kwa kumpa Malawi sehemu nyingine ya ardhi yake.
HUNA na hujawahi kuiona na hutakaa uione kwasababu hazipo Africa...Siwezi kuweka humu masuala nyeti ya wizara ya katiba na sheria pamoja na mambo ya nje. Aliyeshughulikia suala hili na Tanzania ikashinda kesi kwa Malawi kuingia mitini ni Hamza Johari kwa sasa ni mwanasheria mkuu wa Tanzania AG.
Ofisi zake zipo pale pembeni ya mahakama kuu kama unaelekea wizara ya ardhi, ibuka tu na uombe hizo nyaraka naamini utapewa ingawa itabidi ueleze sababu haswa ya kuzihitaji ni ipi.
Ni kweli upo kati katiSisi tunachojua mpaka uko kati kati ya ziwa hizo porojo zako za Google maps wapelekee wachambawima wenzako
Fungua pm acha kua kama pisi mbovu kutafuta attentionUnawashwa njoo PM tuyajenge
Nani alikuambia hivyo wewe mkimbizi wa Kamuzu Banda.Unakumbuka Berlin Conference 1884 -1885 kuhusu Maziwa na mito wewe????Punguza hoja za kuchukiza kwanza mpaka sasa ilitakiwa Malawi achapwe kwanza ili tuheshimiane.Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Nakumbuka miaka ya 90 mwanzoni nilipokuwa shule ya msingi na sekondari kabla ya uwepo wa google map tukichora ramani ya tanzania, mstari wa mpaka kati ya Tz na Malawi katika ziwa nyasa tulikuwa tunauchora katikati ya ziwa.Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Siyo wanyasa tu.. Kuna Wanyakyusa wa Malawi na Wanyakyusa wa Tanzania...Kuna wanyasa Malawi na kuna wanyasa Tanzania (wanaongea lugha moja) na asili hawa sio Bantu ni Żulu.
Sasa utagawa vipi ziwa bila ya kugawa watu. Si baadae watasema Songea pia yao.
Kwani wewe huna akili???Hili jambo litaleta shida huko mbeleni. JPM angekuwa mtu sahihi wa kulimaliza.
Sasa hapo google map istumike mashulen wakati hzo google map tunazo kwa simu zetu. Watamdanganya nanSerikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Yes sir.Thanks a lot.You are an asshole, wewe umezaliwa, hukuijua google, umeanza kuijua google, kuanzia 2000+, lakini upo hapa kutetea usahihi w google map, software ambayo haikuwepo miaka ya 60!,
Sheria za kimataifa, mipaka kwenye maji upo Kati Kati! It's a universal law!
Na logic ni ndogo tu, pwani za mito, maziwa, bahari hahaha, kwa kumongonyoa udongo, ukisema mpaka wa Malawi upo mwanzo wa ziwa kwa upande wa Tz, ipo siku Mbeya yote itakuwa Malawi! Maana mpaka huhama,unatumia vigezo gani kusema google ipo sahihi, google imetengenezwa na watu, sio bible, data ilizonazo,zimewekwa na watu,
Ur so fucking stupid, this is very treasonous! You must be hanged
Ndio maana mipaka inatakiwa kuheshimiwa. Hakuna sehemu majirani hawawezi dai eneo fulani ni lao. Halikadhalika Tanzania inaweza kuwa na claim hizo hizo.Siyo wanyasa tu.. Kuna Wanyakyusa wa Malawi na Wanyakyusa wa Tanzania...
Kuanzia Songwe, Iponga,Kaporo, Pusi, Mwanitete, Ngerenge,pote huko wanaoishi ni Wanyakyusa tu....,siyo Wanyakyusa wahamiaji,ni Wanyakyusa ambao walikuwe kabla hata ya uhuru wa Malawi na Tanganyika.
Sahihi kabisa halafu anatokea mpumbavu kuamini google map ambayo haikuwepo enzi hizo.Mimi toka nipo darasa la tano tulikuwa tukichora raman zinazoonesha tanzania kumiliki nusu ya ziwa nyasa kama ilivyo kwa ziwa tanganyika
Huyu atakuwa ni mchewa wa pale lilongwe sio bure halafu anajifanya anasimamia haki eti.Weka hapa Source ya huo 'ukweli' wako.
Au unataka tukuamini wewe broo..!
Mbona na Tanganyika haiko kwetu pumbavu.Wamalawi si wajinga kama tunalitaka hilo Ziwa tulinunue sasa..ramani ya mjerumani ambaye ndio alionganisha makabila yote akaitengeneza Tanganyika inaonyesha ziwa Nyasa halipo kwetu, kuna agenda gani nyuma ya hili ?
View attachment 3183845