Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

Kwa hiyo na sisi tusitumie maji ya ziwa Victoria ambapo ndiyo asili ya mto Nile kwa kuwa mkoloni aliwekeana saini na Misri kwamba mwenye maamuzi ya mwisho wa mto Nile ni Misri?
Unajua kuna Nile Basin Initiative (NBI) ya nchi 10 ambapo wanajadiliana matumizi sahihi ya Nile?
Hiyo ndio mikataba na makubaliano yanayotakiwa endapo kuna nchi inaona inanyonywa kwenye rasilimali. Sio kujiamulia tu kubisha, otherwise mtapigana vita nyingi.

Sasa nyinyi mnadai mpaka tunaweka katikati wakati mikataba yote inaonyesha Tanzania hakuna ziwa. Siku nyingine Kenya iamue tu mpaka inaweka katikati ichukue Pemba ili Tanzania ibaki na Unguja sababu Mombasa na Lamu zilikuwa na mahusiano na Pemba ila wakoloni waliwekeana saini vibaya.
 
Utaratibu wa mipaka kati ya nchi na nchi zinapopakana kwa kupakanishwa na water bodies, huwa unapita katikati ya water body hiyo, hii inajul8kana kimataifa, so nyetere alikuwa sahihi kudai sehem hiyo ya ziwa, na ilitakaga kuleta mtafaruku miaka flani nchi ya malawi ilikuwa na rais mwanamke
 
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Unamtetea nani hapo?
 
Kabla ya 1880 kulikuwa hakuna mipaka. Yafaa tufungue kesi dhidi ya ukoloni. Mpaka sasa huu mtego umewekwa makusidi ili utuvuruge siku moja.
 
Pp
Utaratibu wa mipaka kati ya nchi na nchi zinapopakana kwa kupakanishwa na water bodies, huwa unapita katikati ya water body hiyo, hii inajul8kana kimataifa, so nyetere alikuwa sahihi kudai sehem hiyo ya ziwa, na ilitakaga kuleta mtafaruku miaka flani nchi ya malawi ilikuwa na rais mwanamke
Nyerere ni moja ya watu wa kwanzq kukubali kuwa ziwa lote ni la Malawi, na kuwa tunapaswa kuongea nao.
 
To solve this problem, be sure to contact THE SOVEREIGN LORD OF THE UNIVERSE.
 
Umeshiba makande wewe. Kama kuna siku niliwahi kumuelewa Mzee Jakaya ni siku alipoelezea historia ya huu mgogoro. Lazima tuwafundishe watoto wetu, kwani sababu mzito za kihistoria na za kisasa zipo kwanini mpaka uwe katikati. Yaani Google map ikisema Mt.Kilimanjaro ipo Kenya na sisi tuufyate siyo?
Jamaa ni wa hovyo sana, anatumia google map kujustify mipaka? Eti dunia inatambua hivyo,
 
Hili hapa ni wazi lina kudhalilisha mwenyewe, ukilifikiria kwa makini. Siyo swala la kujivunia hata kidogo kuonyesha kuwa umesoma na kuelimika.
Na hili hapa chini, linakuonyesha kuwa hao wakoloni unao dhani wao walikuwa na akili nzuri; kwani inaonyesha jinsi walivyo kuwa watupu sana kichwani walipo kuwa wakigawa hizi sehemu.
Ujuha wao ni kutojuwa kwamba mstari katikati ya ziwa toka juu hadi chini ndiyo ilikuwa njia sahihi ya mpaka katika ziwa hilo.
Sasa hadi karne hii unapoona ujinga ulio fanyika na bado ukashindwa kutambua kilicho sahihi; hiyo elimu unayo dai kuipata itakuwa ni ya manufaa gani!

Nikukumbushe tu, ujinga wa hao watu wako hadi leo ndio unao wasumbua wapalestina; ujinga huo huo, ndio unao tuhimiza tusitumie maji yanayo tiririka kwenga Misri; na kwa bahati mbaya sana, hiyo elimu waliyo kujaza wewe akilini inakulazimisha ukubaliane na ujinga huu!
Naona unachanganya vitu, ni kama huelewi hapa tunazungumzia kitu gani.
Hoja iliyopo hapa sio namna wakoloni walivyokuwa sahihi au walivyokosea kuweka mipaka ya bara la Afrika hususani hili la ziwa Nyasa.

Hoja hapa ni namna Google map walivyokuwa sahihi kuweka taarifa rasmi za mipaka ya ziwa Nyasa kama zinavyofahamika na kueleweka kimataifa.

Tanzania imekosea kukataa ukweli kusemwa na Google map na badala yake kulazimisha uongo wa kiserikali ndio ufundishwe mashuleni. Hiyo sio sawa na sio sahihi. Watoto wetu wanapaswa kufundishwa ukweli halisi hata kama ni mchungu sana.
 
Utaratibu wa mipaka kati ya nchi na nchi zinapopakana kwa kupakanishwa na water bodies, huwa unapita katikati ya water body hiyo, hii inajul8kana kimataifa, so nyetere alikuwa sahihi kudai sehem hiyo ya ziwa, na ilitakaga kuleta mtafaruku miaka flani nchi ya malawi ilikuwa na rais mwanamke
Kwanini hiyo sheria haijafanya kazi kwenye mipaka ya Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika?
Ukipata jibu hapo, utakuwa emeelewa kwanini ziwa Nyasa, Tanzania hatuna chetu.
 
Minzanzibarii asilimia kubwa ilivyobonyezwa vichwa vyao visiwe na machogo utotoni karibu wote akili zao zimehama punde tu vichwa vilipolazimishwa viwe bapa
 
Google map ni wazungu
Na always wazungu hawataki afrika yenye maelewano ili wanufaike.
Divide and rule

Kuwa na uhuru wa fikra
 
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
The Law of the Sea is an international convention that regulates the relationship between states in maritime areas, while the Heligoland Agreement was a treaty between Germany and Britain that settled colonial disputes:
The Law of the Sea
This convention establishes a framework for maritime zones and the rights and duties of coastal and third states. It divides marine areas into five zones: internal waters, contiguous zone, territorial sea, and the exclusive economic zone.
The Heligoland Agreement
This treaty was signed in 1890 to settle colonial disputes between Germany and Britain. The treaty included the following terms:
Germany gained Heligoland, an island in the North Sea, and the Caprivi Strip in present-day Namibia.
Britain gained the protectorate over Zanzibar, Witu, and Uganda, and parts of East Africa.
The treaty divided Lake Victoria in half and established a border along the eastern shore of Lake Tanganyika.
Germany pledged not to interfere with Britain's actions in Zanzibar.
Germany and Britain agreed to rectify the lines of demarcation in the treaty by agreement.
 
Hoja hapa ni namna Google map walivyokuwa sahihi kuweka taarifa rasmi za mipaka ya ziwa Nyasa kama zinavyofahamika na kueleweka kimataifa.
Sahihi kwa mjibu wa nini, vigezo gani? Wewe unakimbilia kusema "sheria", nani aliye weka hiyo sheria? Sasa unakimbilia kulaumu kuwa nachanganya mambo, wakati wewe mwenyewe huelewi maelezo unayo pewa?

Walicho takiwa kufanya Google,; mahali palipo na utata wa mpaka, ni aidha kutoonyesha alama ya mpaka kabisa, au kuweka mipaka miwili na kuonyesha mpaka unao daiwa na wahusika.

Hata hivyo, katika hili letu la mpaka na Malawi, ni sisi wenyewe (viongozi wetu) wanao stahili lawama, kwa kuruhusu Malawi kujitangazia mpaka ulipo. Malawi kafanya juhudi kubwa katika kufanya hivyo. Sisi tumeishia kupinga zaidi 'locally' bila ya
Tanzania imekosea kukataa ukweli kusemwa na Google map na badala yake kulazimisha uongo wa kiserikali ndio ufundishwe mashuleni. Hiyo sio sawa na sio sahihi. Watoto wetu wanapaswa kufundishwa ukweli halisi hata kama ni mchungu sana.
Hili ndilo ninalo kueleza hapa kwamba elimu yako uliyo pata huko ni ya kukariri, haikukupa uwezo wa kufikiri na kuona tofauti iliyopo katika maswala husika.
Ni wazi hili ni tatizo kwako. swala kwa uzito unao stahili.

Google wangesikia upande wetu, hizo ramani ulizo funzwa huko ulikokuwa 'brainwashed', wasinge thubutu kuweka ramani hizo na kupotosha swala zima.
 
Back
Top Bottom