Sahihi kwa mjibu wa nini, vigezo gani? Wewe unakimbilia kusema "sheria", nani aliye weka hiyo sheria? Sasa unakimbilia kulaumu kuwa nachanganya mambo, wakati wewe mwenyewe huelewi maelezo unayo pewa?
Walicho takiwa kufanya Google,; mahali palipo na utata wa mpaka, ni aidha kutoonyesha alama ya mpaka kabisa, au kuweka mipaka miwili na kuonyesha mpaka unao daiwa na wahusika.
Hata hivyo, katika hili letu la mpaka na Malawi, ni sisi wenyewe (viongozi wetu) wanao stahili lawama, kwa kuruhusu Malawi kujitangazia mpaka ulipo. Malawi kafanya juhudi kubwa katika kufanya hivyo. Sisi tumeishia kupinga zaidi 'locally' bila ya
Hili ndilo ninalo kueleza hapa kwamba elimu yako uliyo pata huko ni ya kukariri, haikukupa uwezo wa kufikiri na kuona tofauti iliyopo katika maswala husika.
Ni wazi hili ni tatizo kwako. swala kwa uzito unao stahili.
Google wangesikia upande wetu, hizo ramani ulizo funzwa huko ulikokuwa 'brainwashed', wasinge thubutu kuweka ramani hizo na kupotosha swala zima.