Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

Huna akili mkuu. Toka lini water bodies ikawa ya upande mmoja yote..? Wewe mmalawi dawa tukujue na tukupeleke mahakamani.
Mkuu weka akiba ya maneno, usituhumu kama hujafanya utafiti.

Chukua muda wako kujielimisha juu ya hili suala na historia nyuma yake.

Utagundua kuwa mtoa mada lengo lake ni kuweka rekodi sawa, siamini kama ameleta huu uzi kushindanisha akili....! 😲
 
Mkuu weka akiba ya maneno, usituhumu kama hujafanya utafiti.

Chukua muda wako kujielimisha juu ya hili suala na historia nyuma yake.

Utagundua kuwa mtoa mada lengo lake ni kuweza rekodi sawa, siamini kama ameleta huu uzi kushindanisha akili....! 😲
Sawa mkuu
 
M
Wamalawi si wajinga kama tunalitaka hilo Ziwa tulinunue sasa..ramani ya mjerumani ambaye ndio alionganisha makabila yote akaitengeneza Tanganyika inaonyesha ziwa Nyasa halipo kwetu, kuna agenda gani nyuma ya hili ?

View attachment 3183845
Mkuu hebu angalia ramani tena amna anaemiliki ziwa tanyanyika wala nyasa maziwa yote mipaka imepita nje ya ziwa, kwa swala hilo mipaka yote ipo katikati
 
Mipaka ya mjerumani ilikua ziwa lote ni la wanamalawi lakini wajerumani hawakuwashirikisha wazawa kwenye mgawanyo huo...na ndio chanzo cha ugomvi...koo za watu, mipaka ya kiasili vilitenganishwa na kuekwa nchi tofauti tofauti...kwahiyo wamalawi wako sahihi...na watanzania tupo sahihi pia...mgogoro huu unahitaji makubaliano zaidi na mbaya zaidi wamalawi wamegundua mafuta ambayo deposit kubwa iko upande ambao Tanzania inasema ni wake
 
Mkuu kwa maana hiyo hata ziwa tanganyika hatuna haki ya kumiliki ziwa lile kwa ramani ulioituma huru. Na amna mtu ambae anamiliki, ziwa kwa ramani hiyo uliotuma sio ziwa nyasa wala tanyanyika.
 
Angalia vizuri ramani...mipaka imepita kwenye kingo ya ziwa maana yake tunamiliki 0% ya eneo la maji.
 
Umejaribu kuangalia hapo kuna chini huo muongozo wa rangi na umiliki wa mataifa kwa wakati huo kuna wareno,waingereza,wajerumani wamegawanyika kwa rangi zao na mipaka yote imepita pwani ya ziwa, sijaona hata Malawi ikiwa imezidi rangi na kwenda pwani ya tanzania.
 
Attachments

  • Screenshot_20241228_115614.jpg
    Screenshot_20241228_115614.jpg
    405 KB · Views: 4
Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Mkuu:
Ikiwa mpaka wa Tanzania ni ufukweni mwa Ziwa Nyasa, hii itakuwa ni dhana potofu, kwani maji siku zote yanahama.
Ukienda pale bandarini (Itungi Port) utakuta ile bandari ya zamani ipo kwenye maji, imezama na kuonekana paa za nyumba tu. Sasa hapo utawezaje kufahamu mpaka halisi.
 
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
View attachment 3183721
Kwa ninavyofahamu hakuna mpaka wa bahari, mto au ziwa unaokuja mpaka kwenye nchi kavu ya nchi nyengine. Mipaka ya aina hii huishia katikati ya....
 
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
View attachment 3183721
Kitu gani kinacho wafanya mseme Tanzania haitakiwi kumiliki ziwa nyasa afu Mozambique inatakiwa kumiliki ziwa nyasa. Na je sheria za kimataifa zinasemaje juu ya nchi mbili zinapotenganishwa na ziwa. Je wanamiliki kwa umoja au mmoja anaweza miliki lote.

Mbona mgogoro kama huo haupo kwenye maziwa mengine kama tanganyika, Victoria nk.

Hamuoni Malawi 🇲🇼 kama mnataka mgogoro usio kuwa na sababu.

Kwanini msiseme tu hilo ziwa ni lenu tu kuanzia ukanda wa Tanzania hadi Mozambique? Kitu gani imewafanya Mozambique wapate haki ya kumiliki na Tanzania wasipate?. Afu nyie hamjui kuwa sisi sote ni ndugu, viongozi wenu wote wamkulia kwetu tumewasaidia kupata uhuru iweje leo tuanze kuhujumiana? Acheni ubinafsi.
 
Nilichokiona ni huyu aliyepost, anachuki za kimuungano na kuichukia Tanganyika kutokea ndani ya damu kabisa.
 
Bado ningependa kujua kama kuna nchi yeyote inayomiliki ziwa ama mto kwa asilimia 100 kama sehemu ya mpaka wake. Kwa hii scenario Tanzania iko sawa kuchora mpaka wake kama tunavyotambua sasa.
Tanzania upande wa Uganda inamilki mto kwa asilimia 100 na unavuka unakwenda zaidi ya 20km ndo unakutana na mpaka wa Uganda huku mto huo huo kwa upande wa Rwanda umetumika kama mpaka
 
Back
Top Bottom