Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

Hahahahaaa nmemfikiria mama zari halafu nkafikiria tena anamkazia macho kichanga lol! Tena nusu saa

Ahahaah mwenzangu watu hawaamin chezeya
 
Sasa nywele za mtoto mchanga unataka ziwe ngumu, ni nywele au steel wool

Wakupata presha mama diamond
.mama zari yeye hata mtoto awe wa ivan au diamond still tiffah atabal kuwa mjukuu wake..kimbembe kwa bibi bomba kama mtoto sio wa ndomo ndo bas tena hana mjukuuu tupa kuleeee
 
CC: Dinazarde....hivi hapa hujapaona au unamuogopa huyu aliyekujibu hivi..
Aiseeeee.....mie ningejinyonga.

Eeh binamu upo? Ujaachaga umbea tu?? Ahahaah akii mwaka huu segerea itajaa wambea akii...mic you vibayaaa
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wana mihemuko humu jamani! Inahuuu??? Wengine kichwani kipili pili, chini wana nywezle za kizungu mnaacha kujichunguza mnamchunguza mtoto wa daimond, aibu zenu wabongo!
 
Babu wee tupishege uko mxiwwww....mwenye mtoto ivan katulia zake ...mic you sanaaa binamu
Hadi tiffa akue mtakua mshapandwa presha na huyo Dinazarde wako mfyuuuuu
leo umebadili sio katunzi tena make ulikomaa ha ha ha
binamu miss u sana umejichimbia sio jf sio insta iliekupa kazi namchukia make katukosesha umbea kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hadi tiffa akue mtakua mshapandwa presha na huyo Dinazarde wako mfyuuuuu
leo umebadili sio katunzi tena make ulikomaa ha ha ha
binamu miss u sana umejichimbia sio jf sio insta iliekupa kazi namchukia make katukosesha umbea kabisa

Katunzi kaanza lini 'kufanya kazi'
aiseeeeee.....
Cyber Crime imenifika hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wana mihemuko humu jamani! Inahuuu??? Wengine kichwani kipili pili, chini wana nywezle za kizungu mnaacha kujichunguza mnamchunguza mtoto wa daimond, aibu zenu wabongo!

Wewe humu umekuja kuchunguza ya nani?? Ebu tupishege huko mxieww
 
Hadi tiffa akue mtakua mshapandwa presha na huyo Dinazarde wako mfyuuuuu
leo umebadili sio katunzi tena make ulikomaa ha ha ha
binamu miss u sana umejichimbia sio jf sio insta iliekupa kazi namchukia make katukosesha umbea kabisa

Ahahha mwenzangu nimerudi rasmi
..kazi si imenishinda? Nilizid umbea akiii watu 6 walifukuzwa kaz kwa ajil ya umbea wangu naona na mimi arobain yangu imefika ahahah ....sasa hiv humu ni full umbea nimerud ebu nisaidie ku tag na wengine huko
 
Last edited by a moderator:
usijekuta Diamond kamuhonga Shigongo ili amsafishe kwa kutunga stori. Anyway nilikuwa napita tu, MAGUFULI HOYEEEE!!!
 
Kwanini hatuna picha ya mtoto mpaka sasa.??!?

Diamond kabebeshwa zigo huyu.
 
Kuna watu wana mihemuko humu jamani! Inahuuu??? Wengine kichwani kipili pili, chini wana nywezle za kizungu mnaacha kujichunguza mnamchunguza mtoto wa daimond, aibu zenu wabongo!
Ha ha ha huyu mwenye kipilipili juu na za kizungu chini ni shombe au ye aitwaje lol
 
Ahahha mwenzangu nimerudi rasmi
..kazi si imenishinda? Nilizid umbea akiii watu 6 walifukuzwa kaz kwa ajil ya umbea wangu naona na mimi arobain yangu imefika ahahah ....sasa hiv humu ni full umbea nimerud ebu nisaidie ku tag na wengine huko

Ha ha ha uwiiii kibarua kimeota nyasi kisa umbea lol we kafanye kazi kwenye magazeti ya udaku tu
 
Best naanzaje kupitwa sasa na msiba?? Mwenzangu yamemkuta...pole yake..hiv umesikia umbea wolper yule aliyemvalisha pete kumbe ni mume wa mtu?? Yan yamemshukaje bibi yule?? Maana juz alivyokuwa anajishaua na hyo pete akii mmh naona yamemkuta
Ni nani huyo kafiwa?
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde,Warumi,Madame B niliwamisoooo mpaka sooo.niliteseka sana kukosa umbea mpaka hivi leo ndo nimepoa kuona mpo hai na bado mnalisongesha humu JF.I laaaaap you wanadamu kinomanoma
 
Ahahha mwenzangu nimerudi rasmi
..kazi si imenishinda? Nilizid umbea akiii watu 6 walifukuzwa kaz kwa ajil ya umbea wangu naona na mimi arobain yangu imefika ahahah ....sasa hiv humu ni full umbea nimerud ebu nisaidie ku tag na wengine huko

mmmh yaan segerea panatuita ,,,,,mtoto mwarabu kafata kwa bibiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…