warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #61
Dinazarde,Warumi,Madame B niliwamisoooo mpaka sooo.niliteseka sana kukosa umbea mpaka hivi leo ndo nimepoa kuona mpo hai na bado mnalisongesha humu JF.I laaaaap you wanadamu kinomanoma
Makamanda tumerudi hapa ni fulll udakuuuu....nataka nione hyo cyber crimu sijui lotion , maana umbea kwangu kuacha ni mwiko