Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hahahaaaaa kwa waislam 40 ya mtoto ni ya muhimu sana.Kumbe i was so wondaz mbona sioni wengine wakifanya.
Hata wakiwa wamechoka vipi watapika hata chai na maandazi kuliko kuiacha ipite hivihivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa kwa waislam 40 ya mtoto ni ya muhimu sana.Kumbe i was so wondaz mbona sioni wengine wakifanya.
Mi nilikua naskia arobaini ya marehemu tyu kweli usilolijua ni Sawa na usiku wa gizaHahahaaaaa kwa waislam 40 ya mtoto ni ya muhimu sana.
Hata wakiwa wamechoka vipi watapika hata chai na maandazi kuliko kuiacha ipite hivihivi.
Hahahaaaaa uwiiiiii! Yaani wewe?Mi nilikua naskia arobaini ya marehemu tyu kweli usilolijua ni Sawa na usiku wa giza
Mpwa, nipo bize na kampeni, nakugombea udiwani huku Uswahilini kwetu. Karibu Tandika Azimio kwenye kampeni hii leo.
Mpwa, nipo bize na kampeni, nakugombea udiwani huku Uswahilini kwetu. Karibu Tandika Azimio kwenye kampeni hii leo.
Yaani nikikupata we mtoto tu, ndo nimeshamaliza kazi... huku udiwani, pembeni mtoto wewe; nahitaji nini tena! N'takutafuta soon.Ukishinda udiwani na mie nitakua mke wa diwani LOL
Mpwa kampeni za huku kwetu utaziweza wapi wewe wakati ushazoea mambo ya kishua mpwa?! We subiri nipate udiwani, nakuhakikishia fremu za biashara zisizopungua tanoTandika.Mbona hukunistua nikupigie kampen binamu yangu
Sina utata.nipo straight machoni pa watuWe ushapima DNA
kiswahili cha baraUnaandika nini ? Sijakuelewa
sa mi nimekosea nini?Endeleeni kunyooka,
KESHO SAA TATU CLOUDS TV USIKU
mToto ataonyeshwa live bila chenga, sasa wewe kama unasikiliza maneno ya watu utafikili walikuwepo in the making... angalia asijekukwambia ye babaako ukaanza kumuuliza mamaako maswali mawili mawili
thanksHongera kwa kuanzisha thread!!endelea kutafuta