Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

Yule Ivan ana legal power kubwa sana juu ya zari.akienda mahakamani any time court order ya DNA ya mtoto itatolewa na wewe huwezi zuia.
I see, kwa sauti ya kujiamini kama hii sina shaka utakuwa unaifahamu status ya uhusiano wa Zari na Ivan vizuri sana! Hebu tujuze, legal status ya uhusiano kati ya Zari na Ivan ni ipi hasa? Labda nikusaidie... ni kwamba Zari amemtoroka mumewe na bado ni mke halali wa ndoa wa Ivan, or? Ni kwamba hajamtoroka isipokuwa hadi leo Zari ni sawa na baadhi ya wanawake ambao mume akigeuza kisogo tu, wao wanataroka na kwenda kwa mahara zao na baadae wanarudi; au? What exactly Zari's marriage status na Ivan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…