Uchaguzi 2020 Utata wa muungano wa kisiasa (coalition) wa CHADEMA na ACT-Wazalendo katika macho ya Sheria

Jiwe alihisi tangu 2018, akaanza kutunga sheria za kubana upinzani alichosahau ni kwamba Elimu bahari huwezi kujua yote,
Alisahau hiki Ni kizazi cha global vision na sio kile Cha miaka ya 70.
Hawezi zima internet atakosa makusanyo na shughuli hazitoenda, mabeberu ni wajanja Sana wako mbele miaka 300 cheki wamewaletea madikteta mifumo ya e government kila kitu Hadi malipo kwenye system wakizima tu internet ili kubinya upinzani kila kitu usimama nao wanaogopa kusimama kwa mambo so hawana budi tu kukubali internet ifanye Kazi.
 
Kama vyama vinavoshirikiana vimesajiliwa na vina uhalali wa kufanya ushirika kutokana na imani na itikadi zao - ni jambo la kheri!! Wakati wengine huunda umoja hata baada ya uchaguzi, sisi tunataka malengo ya umoja yaamuliwe na mmoja wa wanaonufaika na utengano!

Ni ajabu tuna methali “kidole kimoja akivunji chawa”, “umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu” lakini bado sheria zetu ni zile zinazosimamia utengano zaidi ya umoja.
 
Ni kama unaeleweka vile!
Jana nilimsikia mgombea ubunge wa CCM Mafinga akisema; "Nawaomba CHADEMA muiunge mkono CCM kwenye uchaguzi huu ili tumalizie kazi tuliyoianza 2015". Kumbe kuungana mkono siyo kosa?
 
Ni kama unaeleweka vile!
Jana nilimsikia mgombea ubunge wa CCM Mafinga akisema; "Nawaomba CHADEMA muiunge mkono CCM kwenye uchaguzi huu ili tumalizie kazi tuliyoianza 2015". Kumbe kuungana mkono siyo kosa?


Kuungana mkono sio kosa hata kidogo.
 
Kwahiyo Muungano wa CCM na TLP, ama Mrema kumuunga mkono Magufuli ni sahihi?

Hizi ni sheria kandamizi za awamu ya tano. Kama sheria ya Takwimu. Sheria ya habari nk.

Jiwe out.

Siyo sahihi na kisheria hakuna muungano (coalition) hapo...

Vivyo hivyo wa CHADEMA na ACT WAZALENDO, kisheria siyo sahihi na kiukweli ni kama hau - exist kisheria...

Kwa mujibu wa maelezo ya ndugu yetu hapa (mleta) ni kuwa, ili muungano ukubalike kisheria, ni lazima ufuate utaratibu za kisheria kuanzishwa kwake na kisha usajiliwe na mamlaka inayohusika kisheria...

Cha kushangaza ni hawa NEC na Ragistrar of Political Parties kuanza kushughulikia kitu ambacho hakipo kisheria....!
 

Bila kusajiri Coalition Agreement kwa Msajili wa Vyama vya Siasa hakuna Muungano halali kisheria.
 
msajili asilete za kuleta hapa... wakati Magufuli anamteua Mgwira kuwa RC (cheo cha kisiasa) wa Kilimanjaro alikuwa hajui kuwa huyu mama ni mwenyekiti wa ACT?

Kwahiyo, unataka kusema kuwa huu ni muungano wa kisiasa?
 
..Msajili na NEC wanapaswa kukaa kimya na kuwapuuza CDM na ACT mpaka pale watakapotaka kuhalalisha jambo lao kisheria.

Chadema na ACT-Wazalendo sio wajinga, watagoma kuhalalisha jambo lao kisheria ndo maana Msajili anawawai kwa kuwa pre-empt.
 
Tumchague mtanzania mwenzetu Safari hii ambae Ni msomi mwenye vision civilized educated
 
Halafu Ni mweupe Sana kwenye reasoning Ni mzuri kwenye claiming.


Swali langu lililenga kumjua mtu ambaye umemsema kuwa ni mweupe sana kwenye reasoning na ni mzuri kwenye claiming. Je ni nani huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…