Hivi kaka,unaweza kunithibitishia kwamba picha hiyo kweli imepigwa na hicho kifaa ?lakini mkuu, wanasayansi wanasema nyota zinaonekana vizuri sana kwenye kwa sababu hakuna atmosphere na ndo maana zikatumwa space telescopes, sasa iweje unasema kwa sababu hakuna atmosphere ndio maana picha hazionyeshi nyota?, chukulia mfano wa hii picha
View attachment 477251
hili ni jibu toka kwa mwanaanga
yaani mi hapo ndipo kichwa kinapouma habari zinapokuwa namna hii.Hivi kaka,unaweza kunithibitishia kwamba picha hiyo kweli imepigwa na hicho kifaa ?
Huwa najiuliza huwa wanakuwa katika position gani kuweza kupiga hizo picha, eti wanapiga picha ulimwengu mzima sayari zote zinaonekana kweli?Hivi kaka,unaweza kunithibitishia kwamba picha hiyo kweli imepigwa na hicho kifaa ?
Job very very[emoji23]Kazi kweli kweli
Kazi kweli kweliJob very very[emoji23]
Google hilo swali lako na utajibiwa vizuri zaidi na wataalam! It's fascinating indeed,Huwa najiuliza huwa wanakuwa katika position gani kuweza kupiga hizo picha, eti wanapiga picha ulimwengu mzima sayari zote zinaonekana kweli?
Hjafafanua vizuri mkuu ongeza marifa na elimu uliopata ya geografia ili tufaidike tunasubiriHii picha ilipigwa na satellite inayozunguka mwezi, hapo jua lilikuwa kali sana mwezini hivyo mwanga ulikuwa mwingi. Kumbuka mwezini hakuna atmosphere wala mawingu. Kwa mwanga huo huwezi kuona nyota kirahisi. Ni kama hapa duniani, huwezi ona nyota mchana kirahisi.
Mkuu hapa umetuuza, wanasayansi wanasema zinaonekana nyingi na kwa wepesi ukiwa kwenye space sasa ww unatuambia umbali, unajio kuna radio telescope mwenyewe wanazodai unaweza kuona galaxy ya mbali zaidi.Nyota zipo mbali sana,huwezi kuziona kama kuna mwanga