Hivi karibuni Rais amemteua Engineer Peter Rudorf Ulanga kuwa mtendaji mkuu wa shirika la ndege ATCL ; akichukua nafasi ya mteule wa Magufuli engineer Ladislaus Matindi.
Ikumbukwe tu kwamba Muda si mrefu uliopita engineer Ulanga alitumbuliwa kama mtendaji mkuu wa TTCL
Je, Rais anapowatumbua wateule wake na baadae kuwarudisha tena inaashiria nini? Inawezekana huwa anakurupuka kufanya maamuzi bila kufanya tafakuli ya kutosha?
Kama ni hivyo basi kuna mapungufu katika utendaji wa washauri wa Rais ; haiwezekani mtu aliyeondolewa kazini kwa makosa halafu mtu huyo huyo baada ya muda mfupi akaonekana msafi! Kuna kitu sio sawa hapa. Hii sio mara ya kwanza kwani ilimtokea hata yule kijana fisadi Maharage Chande!
Ingependeza pia kama ATCL ingefanyiwa performance appraisal huyu engineer Ulanga anapokabidhiwa hilo shirika na iwe wazi huyo Matindi ameliacha shirika katika hali gani kwani kwa jinsi linavyoendeshwa nadhani linazidi kuwa mzigo kwa wa lipa kodi.
Wanasiasa wanazifanya ndege kama daladala bila kujali kuwa matumizi yao ya anasa ni mzigo mzito kwa walala hoi!
Pia soma: