Utata wa updated fee structure SAUT

Utata wa updated fee structure SAUT

Maftago

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
50
Reaction score
1
Wana Jf naomba kuwashirikisha kuhusu utata uliopo kwenye update ya fee structure ya chuo cha SAUT,iliyoonyesha ulipaji wa ada kwa miaka 4 kwa degree,Je?inamaanisha tutakao anza degree tutasoma miaka 3 au 4 pia linganisha na post iliyotumwa leo jf kuhusu utata wa tcu guide book jua ya muda wa masomo wa Bsc geology kati ya miaka 3 au 4.Je?kwa mnafikiri kwa mwaka wa kwanza degree tutasoma miaka 4 au fee structure ya SAUT inayoonyesha ulipaji wa ada kwa degree ni mwaka 1,2,3,4.inamakosa?
 
kozi zingine ni miaka mi4 kama vile LAW so usiogope kama kozi yako ni ya miaka3
 
Back
Top Bottom