Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Ebu mnisaidie mana nime-google hadi nimechoka Eti R.KELLY Alizaliwa wapi au ni mtu mwenye asili ya nchi gani hapa Afrika?
hivi google nao wana-google wapi vile?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu mnisaidie mana nime-google hadi nimechoka Eti R.KELLY Alizaliwa wapi au ni mtu mwenye asili ya nchi gani hapa Afrika?
Kisima majongoo...Unguja
Mbona nilisikia ni Mchamba Wima Pemba....?
Nawasiwasi pia na Kibanda Maiti maana wazazi wake waliishi sana kule kabla ya kuhamia Mchamba Wima.
Yakhee mi naona alizaliwa kule kwetu nchambawimaa....
R Kelly amezaliwa January 8, 1967 (age 46)Ebu mnisaidie mana nime-google hadi nimechoka Eti R.KELLY Alizaliwa wapi au ni mtu mwenye asili ya nchi gani hapa Afrika?
Ebu mnisaidie mana nime-google hadi nimechoka Eti R.KELLY Alizaliwa wapi au ni mtu mwenye asili ya nchi gani hapa Afrika?