Utata

Utata

Shauri

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
804
Reaction score
453
habari wana jf
Leo nilikuwa mahali napata chakula cha mchana,ghafla wakaingia wadada wawili,tukasalimiana vizuri tu,baada yahapo kila mmoja akaendelea na makulaji yake,sasa wakawa wanapiga story za kabila la kichaga hasa upande wa wanaume,kati yao akawa anawaponda sana wanaume kwa kusema ooh mimi hata nikipata mchumba wa kichaga hata kama ana hela kiasi gani sikubali kuolewa nae,wana roho mbaya sana,mwenzake naye akaongezea akasema hata wamasai na wagogo wako hivyo.mi nikasepa nikawaacha wanaendelea na story zao.
wana jf hawa wadada wako sawa au?
nawasilisha!:A S 112:
 
Mkuu hapo ulipogusa mmmhhh, tusubiri mawazo ya kina dada wa kichaga!!!
 
kwani hiyo roho mbaya ipo kwenye kabila au kwa mtu binafsi?
another generalization at work......................
 
Sasa umewakilisha nini ? uelewa wako finyu,ukabila, au dhana potofu.Halafu ubahili wa wanaume wa Kichagga we utakudhuru vipi ? we si mwanaume au nawe unataka kuolewa.
 
cdhani kama amemaanisha unavofikiria wewe,hebu rudia thread yake,mwisho kauliza kuhusu hao wadada!anamaanisha kama bdo wanajali ukabila,kumwambia mwanaume mwenzio unataka kuolewa si vzuri!
 
Sasa hayo si yalikuwa mazungumzo binafsi nae alisikia kwasababu tu alikuwa karibu angeyaacha hapo.
 
Sasa umewakilisha nini ? uelewa wako finyu,ukabila, au dhana potofu.Halafu ubahili wa wanaume wa Kichagga we utakudhuru vipi ? we si mwanaume au nawe unataka kuolewa.

Nijuavyo huyu ameuliza na alitaka kujua zaidi na ukweli
Si yeye aliyesema ni wadada ambao alipiga chabo kwa sikio mazungumzo yao
 
cdhani kama amemaanisha unavofikiria wewe,hebu rudia thread yake,mwisho kauliza kuhusu hao wadada!anamaanisha kama bdo wanajali ukabila,kumwambia mwanaume mwenzio unataka kuolewa si vzuri!

Huenda hata aliyeleta mada ni MCHAGA
 
Kweli wewe uporoto!rekebisha kauli!mdomo ni mali yako!:a s 13:
 
Siungewafuata ukawauliza?Mnaboa na kuchambua kabila letu kila leo!!Hamachoki??
 
sasa hivi hata yanayozungumzwa kitandani....jinsi mtu anavyoona sifa kutoka nje ya ndoa yote yanawekwa hapa....kazi kwetu kujadili.....:A S 13::A S 13:
 
Hamna limitations tena dearest....siri za vyumbani nazo zinaanikwa barazanii!!

Mzima lakini?
 
si yetu kazi kusoma na kujadili tu hakuna la ziada....ukichoka unasepa kimoja!

mimi mzima,kweli nina m-miss Hashy.....akirudi nikiwa sipo mwambie nilim-miss sana!!!
 
Back
Top Bottom