Shauri
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 804
- 453
habari wana jf
Leo nilikuwa mahali napata chakula cha mchana,ghafla wakaingia wadada wawili,tukasalimiana vizuri tu,baada yahapo kila mmoja akaendelea na makulaji yake,sasa wakawa wanapiga story za kabila la kichaga hasa upande wa wanaume,kati yao akawa anawaponda sana wanaume kwa kusema ooh mimi hata nikipata mchumba wa kichaga hata kama ana hela kiasi gani sikubali kuolewa nae,wana roho mbaya sana,mwenzake naye akaongezea akasema hata wamasai na wagogo wako hivyo.mi nikasepa nikawaacha wanaendelea na story zao.
wana jf hawa wadada wako sawa au?
nawasilisha!:A S 112: