Sasa umewakilisha nini ? uelewa wako finyu,ukabila, au dhana potofu.Halafu ubahili wa wanaume wa Kichagga we utakudhuru vipi ? we si mwanaume au nawe unataka kuolewa.
Sasa hayo si yalikuwa mazungumzo binafsi nae alisikia kwasababu tu alikuwa karibu angeyaacha hapo.cdhani kama amemaanisha unavofikiria wewe,hebu rudia thread yake,mwisho kauliza kuhusu hao wadada!anamaanisha kama bdo wanajali ukabila,kumwambia mwanaume mwenzio unataka kuolewa si vzuri!
Sasa hayo si yalikuwa mazungumzo binafsi nae alisikia kwasababu tu alikuwa karibu angeyaacha hapo.
Habari kama hizi hupelekea watu kusutwa na haipendezi m/me kusutwa.hahahahahahah,kumbe tatzo kayaleta hapa?oka msamehe uporoto01
Sasa umewakilisha nini ? uelewa wako finyu,ukabila, au dhana potofu.Halafu ubahili wa wanaume wa Kichagga we utakudhuru vipi ? we si mwanaume au nawe unataka kuolewa.
cdhani kama amemaanisha unavofikiria wewe,hebu rudia thread yake,mwisho kauliza kuhusu hao wadada!anamaanisha kama bdo wanajali ukabila,kumwambia mwanaume mwenzio unataka kuolewa si vzuri!
Siungewafuata ukawauliza?Mnaboa na kuchambua kabila letu kila leo!!Hamachoki??
Sawa basi hautaolewa ok ?Kweli wewe uporoto!rekebisha kauli!mdomo ni mali yako!:a s 13:
sasa hivi hata yanayozungumzwa kitandani....jinsi mtu anavyoona sifa kutoka nje ya ndoa yote yanawekwa hapa....kazi kwetu kujadili.....:A S 13::A S 13:
Hamna limitations tena dearest....siri za vyumbani nazo zinaanikwa barazanii!!
Mzima lakini?