Utatanishi na Ukimya Katika Rasimu - Issa Shivji

Utatanishi na Ukimya Katika Rasimu - Issa Shivji

Mtumbatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
363
Reaction score
171
New Picture (2).jpg

Ukumbi na Nkrumah tarehe 21 juni 2013 saa 8:00 mchanampaka 12:00 jioni, muhubiri ni Prof. Issa Shivji wa Kigoda Cha Taaluma Cha Mwalimu Nyerere - Chuo Kikuu Cha Dar es salaam
 
Sawa. Acha tuwasubiri magwiji hawa tuwasikie wanasema nini. Labda kitaeleweka.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hapo ndipo itatoka knowledge. Ninasoma rasimu yote kabla ya siku hiyo ili nisiwe msikilizaji mgeni, bali mshiriki.
 
Palestina watakuwepo pale? mimi huwa naona shida tuu wasikiliza "wapiga matarumbeta wa UDSM" sijui this time kawanunua nani ktk mashariki ya kati.
 
jamani nitakuwa arusha ningekuwepo lazima ningeenda kuchangia na mimi jambo
 
Hawa ndio watu makini, wamepata time kuipitia sio wanasiasa wetu yaani wameanza kutoa misimamo baada ya ile summary ya warioba tu.
 
Hapo ndiyo penyewe unatulia then unasema. Sio fasta kama kojo la asbh
 
Back
Top Bottom