UTATOA USHAURI MTU ANUNUE GARI GANI

UTATOA USHAURI MTU ANUNUE GARI GANI

NUNEZ DIAZ

Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
85
Reaction score
115
Habari wana jf
tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue na kwanini
 
Ushauri unategemea Mambo mengi Sana
1. Gari ya shughuli gani
2. Mnunuzi ana kipato gani
 
Habari wana jf
tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue na kwanini

Kwa compact SUV kuagiza budget(25ml-35ml) check
1.mazda CX-5 2012
2.BMW x1 2011
3.VW Tiguan 2010
4.Subaru forester XT
 
Back
Top Bottom