NUNEZ DIAZ
Member
- Apr 15, 2015
- 85
- 115
gari ya kutembelea tu na kiwango cha 25mUshauri unategemea Mambo mengi Sana
1. Gari ya shughuli gani
2. Mnunuzi ana kipato gani
Habari wana jf
tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue na kwanini
Achukue VW TiguanKwa compact SUV kuagiza budget(25ml-35ml) check
1.mazda CX-5 2012
2.BMW x1 2011
3.VW Tiguan 2010
4.Subaru forester XT
Ana Cash flow nzuri? Asije kulialia humu baada ya siku chache.Achukue VW Tiguan