Shemeji usimfanyie hivyo mdago wangu, atajisikia vibaya.Wifi bahati mbaya Sina komwe nilipishana nalo,
Ngoja niwaache na familia yenuπ
Siwezi pangwa kama behewa za SGR
Mie ni zilipendwa, zinazopendwa na zitakazoendelea kupendwa. Nipo sanaaaaπππwewe zilipendwa π π π ndio nakuibia siri, πππ
Hahaa mwalimu kufuatwa mmh nisije rudi na mapacha bureπMwanafunzi mjeuri ππ usie taka mfata mwalimu kwake
I love youβ€Mie ni zilipendwa, zinazopendwa na zitakazoendelea kupendwa. Nipo sanaaaaπππ
π π π π jipe nguvu na tumaini.. Brazilian nime mtonya kasema kuanzia kesho asione pua yakoMie ni zilipendwa, zinazopendwa na zitakazoendelea kupendwa. Nipo sanaaaaπππ
π π π mie sina mambo hayo kabisa , labda unifundisheHahaa mwalimu kufuatwa mmh nisije rudi na mapacha bureπ
Hebu twende taratibu wifi yangu. Yule atakuwa ni yule mfanyakazi mwenzie.Wifi bahati mbaya Sina komwe nilipishana nalo,
Ngoja niwaache na familia yenuπ
Siwezi pangwa kama behewa za SGR
Kistaa sana mwanawane na ingenoga ungemalizia kabisa na mtoto Romy Indy π€£π€£π€£Natundika daruga kistaaπ π
And i love you moreπI love youβ€
Mamaaaaaa ERoni .. nime kumiss π π .. kuna mtu anataka kuharibu penzi lako shangaziπππ Ila aunt
ππππππ π π π jipe nguvu na tumaini.. Brazilian nime mtonya kasema kuanzia kesho asione pua yako
Mwalimu ufundishwe na mwanafunzi? Hahaaπ π π mie sina mambo hayo kabisa , labda unifundishe
Binti kuna habari nazisikia sizielewi elewi. Unajiamini nini?πππ Ila aunt
Habari Gani Tena hizo?Binti kuna habari nazisikia sizielewi elewi. Unajiamini nini?