Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Nife nikiwa nimewatendea mazuri watu hilo ndo jambo jema. Sasa jpm kila kona ya nchi ilikuwa vilio. Mazao aliua karibu yote mbaazi, korosho, tumbaku nk kisa ubabe wake. Biashara aliua kabisa na akabaki anatwambia matakwimu ya uongo eti uchumi unakua, utakuaje kiala kila kinakifu!!Wewe hautakufa, umebarikiwa meku!
Ndo mana siku ya kifo chake watu walichinja mbuzi nk. Vikana ndo usiseme ajira zote zimepigwa pini sasa hivi samia ndo anajaribu kifufua