Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Nife nikiwa nimewatendea mazuri watu hilo ndo jambo jema. Sasa jpm kila kona ya nchi ilikuwa vilio. Mazao aliua karibu yote mbaazi, korosho, tumbaku nk kisa ubabe wake. Biashara aliua kabisa na akabaki anatwambia matakwimu ya uongo eti uchumi unakua, utakuaje kiala kila kinakifu!!Wewe hautakufa, umebarikiwa meku!
Hakika walikuwa wezi sana, ushajiuliza ile 1.5tr iko wapiHii chemistry ya Jpm, Kijazi na Mfugale naweza kuifananisha na ile ya Messi, Xavi na Iniesta
Ama kwa hakika kama Taifa tumepoteza wachapakazi waliojitoa kwelikweli ktk kuijenga Nchi
Tutawakumbuka daima asilani
Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi
Umesema ukweli mkuuKweli kabisa, hizo barabara zilijengwa na Kikwete. Mzee Kikwete watu wamemu-underate sana. Kafanya mambo makubwa sana yule mzee nadhani ndio kiongozi bora kiutawala baada ya Mwalimu
Tuangalie sekta moja ya afya ambapo Muhimbili ilijengwa na mkoloni almost 50% ya majengo yaliyopo pale. Alikuja Mwalimu akaongeza baadhi machache, Ruksa hakufanya chochote, Mkapa alikarabati miundombinu iliyopo ila akuongeza.
JK alijenga JKCI, New OPD, MOI na Mloganzila
Kwenye barabara za mikoa JK ndiye aliyeunganisha nchi yote kwa barabara. Amejenga airport mpya, mradi wa mwendokasi, mradi wa ubungo flyover (alianza yeye) na mingine mipya. Through JK nchi iliingia uchumi wa kati wa chini
Nitamkumbuka na kumuenzi daima JK na katika utawala wake ndipo hata maeneo mengi ya jiji yaliendelea baada ya watu kuwa njema kiuchumi kama Madale, Malamba Mawili, Goba, Bunju, Kigamboni, Mabwepande, Kongowe ya Dar, Chamanzi n.k
Hivi sasa kinaendelea nini baada ya kuondolewa hawa watu?Nimepita kwa daladala kutoka Temeke - Lumo jet - Kinyerezi hadi Mbezi mwisho stendi ya mkoa lami tupu sijagusa vumbi.
Nikatoka Mbezi mwisho hadi Bunju kupitia Madale ni full mkeka no vumbi.
Kwa hakika Magufuli - Kijazi - Mfugale tutawakumbuka daima.
Raha ya milele uwape ee Bwana, Wastarehe kwa amani, amen!
Hizo barabara zimejengwa kwa tozo tunayotoa kwenye manunuzi ya perroli na dizeli. Tozo hiyo inakusanywa na Tanzania Road Fund na TANROADS wanajenga barabara.Nimepita kwa daladala kutoka Temeke - Lumo jet - Kinyerezi hadi Mbezi mwisho stendi ya mkoa lami tupu sijagusa vumbi.
Nikatoka Mbezi mwisho hadi Bunju kupitia Madale ni full mkeka no vumbi.
Kwa hakika Magufuli - Kijazi - Mfugale tutawakumbuka daima.
Raha ya milele uwape ee Bwana, Wastarehe kwa amani, amen!
Hizo ndizo roho chafu, utatu wa roho za vyura kwa muhibu wa Ufunuo 13. Zitokazo kwa shetani.Nimepita kwa daladala kutoka Temeke - Lumo jet - Kinyerezi hadi Mbezi mwisho stendi ya mkoa lami tupu sijagusa vumbi.
Nikatoka Mbezi mwisho hadi Bunju kupitia Madale ni full mkeka no vumbi.
Kwa hakika Magufuli - Kijazi - Mfugale tutawakumbuka daima.
Raha ya milele uwape ee Bwana, Wastarehe kwa amani, amen!
was it co-incidence Mfugale, Kijazi na Jiwe?? wote hatunao in a period of 6month only?Wewe hautakufa, umebarikiwa meku!
Wauwaji wamebaki yatima. Kika siku wanajipa moyo kwa maneno matupu.Nchi haijengwi kwa barabara tu ingawa mnampa na sifa za viongozi waliopita kabla yake. Msijishau. Awamu imepita hata mfanyeje haiwezi kujirudia tena kamwe.
Kilio kwa wazalendo ni kicheko kwa mabeberu. Hawa watatu, sio bure kuna mkono wa beberu
was it co-incidence Mfugale, Kijazi na Jiwe?? wote hatunao in a period of 6month only?
🤣🤣🤣covid inapenda sana DeniersWalidharau Covid 19, wakatambaa nayo.
wazalendo wasiojali afya zao ni wazalendo wa hovyo.Kilio kwa wazalendo ni kicheko kwa mabeberu. Hawa watatu, sio bure kuna mkono wa beberu
Nimegundua kuna watu wana chuki binafsi tu, wengine hawana kumbukumbu na wengine walikuwa bado akili zao hazijatengemaa lakini ni wabishi na wanajifanya wanajua kila kitu.Kweli kabisa, hizo barabara zilijengwa na Kikwete. Mzee Kikwete watu wamemu-underate sana. Kafanya mambo makubwa sana yule mzee nadhani ndio kiongozi bora kiutawala baada ya Mwalimu
Tuangalie sekta moja ya afya ambapo Muhimbili ilijengwa na mkoloni almost 50% ya majengo yaliyopo pale. Alikuja Mwalimu akaongeza baadhi machache, Ruksa hakufanya chochote, Mkapa alikarabati miundombinu iliyopo ila akuongeza.
JK alijenga JKCI, New OPD, MOI na Mloganzila
Kwenye barabara za mikoa JK ndiye aliyeunganisha nchi yote kwa barabara. Amejenga airport mpya, mradi wa mwendokasi, mradi wa ubungo flyover (alianza yeye) na mingine mipya. Through JK nchi iliingia uchumi wa kati wa chini
Nitamkumbuka na kumuenzi daima JK na katika utawala wake ndipo hata maeneo mengi ya jiji yaliendelea baada ya watu kuwa njema kiuchumi kama Madale, Malamba Mawili, Goba, Bunju, Kigamboni, Mabwepande, Kongowe ya Dar, Chamanzi n.k
Hapana Ni Messi, Ronaldinho na Etoo.Hii chemistry ya Jpm, Kijazi na Mfugale naweza kuifananisha na ile ya Messi, Xavi na Iniesta
Ama kwa hakika kama Taifa tumepoteza wachapakazi waliojitoa kwelikweli ktk kuijenga Nchi
Tutawakumbuka daima asilani
Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi
Kabisa...inatoa somo...🤣🤣🤣covid inapenda sana Deniers
Wapi hapo ambapo mradi umesimama acha uongo unatembea hii inchi lakini?Amejitahidi sana...
Na kwa sasa miradi mingi ya barabara imesimama...