Utatu wa Dkt. Magufuli, Eng. Kijazi na Eng. Mfugale katika ujenzi wa barabara nchi nzima tutaukumbuka milele

Sio jiji tu mikoani huku watu walijenga sana kipindi cha jk.jk kichwa kile
 
Wewe akili yako ni ndogo.
 
Ilikuwa ni furaha sana Mungu kunijalia kuishi enzi za wazalendo hawa, ni masikitiko sasa kuishi kwenye enzi za ushoga chini ya firauni mkuu
Hawa wa sasa ni mashetani mkuu.
 
Sio jiji tu mikoani huku watu walijenga sana kipindi cha jk.jk kichwa kile
Aliweza sana kubalance uchumi. Yaani watu walikuwa nazo na maendeleo ya vitu yalikuwepo. Sidhani kama tutapata Rais kama Kikwete katika maisha tuliyobakiza
 
Kwenye biashara hapo ninakukatalia..Tena nitakusamehe kwa kutokujua km ww sio mfanya biashara
 
Magufuli alikuwa ana hulka ya kupenda sifa sifa sn mfano mdogo tu AIR PORT Terminal 3 alikuta umesha jengwa kwa asilimia karibu 90% akaleta misifa yake ya kutaka kuonekana ule mradi wote na hela zilizotumika pale ni wizi ulikuwa kwahiyo akaja na DRAMA zake ili aonekane kausimamia na kajenga yeye.

Hivi MIRADI aliyejenga JK yote NCHI nzima unaweza mlinganisha na MAGUFULI kweli kweli WATANZANIA wengi wamerogwa, hivi ule mradi wa UDOM pale kama MAGUFULI ndiye angekuwa amejenga yeye kile CHUO naona wangeshauri kibadilishwa jina na kuitwa MAGUFULI UNIVERSITY sijui inge kuwaje kwa kweli.
 
ulikuwa ni utatu wa uchapaji hela chini ya kivuli cha hapa kazi tu.
 
Tunakiona cha moto kwa matrilioni ya madeni tuliyoachiwa kwa kipindi kifupi tu lakini Mungu ametunusuru. Walikopa kama wehu.
huku akidanganya kuwa anajenga kwa fedha za ndani.
 
Barabara ya Jet corner hadi Davis corner na ile ya kutoka Mbezi hadi Goba zote zilijengwa wakati wa Kikwete tafuteni barabara nyingine alizojenga sio kumpa sifa za mwingine.
Waziri akiwa nani vile? Nani aliyetoa ahadi ya tutaendesha taxi kutoka Bukoba mpaka Mtwara? Wakati huo nadhani ulikuwa nursery si kosa lako....Magufuli alianza kuiongoza nchi hii tangu 1995 na katika viti ambavyo tunajivunia navyo ni hivyo vya kwake kwani mawaziri wengine hawakuwepo? Kwanini hakuna kitu cha kujivunia kutoka kwao? Kwanini iwe barabara tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…