Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
This is my true story,
Nina familia. Nilipokuwa mtoto nilikulia maisha ya matatizo sana, sababu mojawapo ikiwa kufiwa na wazazi wangu na hivyo kusoma kwa tabu sana. Lakini namshukuru Mungu alivyonipigania na kufanikiwa kimaisha. Kwa sasa nina kazi nzuri na mshahara mzuri. Tatizo langu lipo kwenye mapenzi. Sikuwahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote maisha yangu mpaka nilipomaliza chuo kikuu, siyo kwa sababu nilipenda ila tangu utoto wangu nilikuwa napewa ushauri wa vitisho sana kiasi cha kuogopa sana kufanya sex kabla ya ndoa. Nilipomaliza chuo nilipata rafiki ambaye hakuwa mtu wa town sana (rural areas), mpole, mvumulivu, hata nikikasirishwa tuu analia. Hakuwahi kufanya mapenzi maishani mwake mpaka siku tuliyofunga ndoa and you can see the coincidence of all being virgin. Mimi nilikuwa na advantage kidogo kuhusiana na mambo ya mapenzi kwa sababu ya mazingira ya mjini kama Dar niliposomea, nilikuwa naona hata movies za x kwa marafiki zangu, magazeti na mengineyo.
After marriage, nikagundua kuwa mwenzangu ameshikilia misimamo ya dini sana na hajui mambo mengi kuhusu mapenzi. Ikawa kila kitu alitegemea mimi mimwelekeze, nikawa nakuja na magazeti kama ya udaku, movies etc. Akaanza kunikomalia kuwa nazipata wapi hizo movies, akawa hataki hata kuangalia. Tukiwa kitandani hawezi kunyonya mashine yangu. Katika maandalizi nikishamridhisha hisia zake akisema start ndani ya dk tano au less than 10 minutes ameshamaliza anaanza kuniambia nimalize. Na nikishamaliza hawezi kurudi mara ya pili, labda mpaka next day. Tatizo lingine mwanamke siyo mbunifu hata chumba hakipangiliwi vizuri, mtoto akijikolea kwenye nepi anaitoa na kuirusha uvunguni mwa kitanda, chumba kinaanza kunuka, nikimwambia anasema ataitoa asubuhi wakati bafu iko hapo ndani hapeleki huko.
Napata wakati mgumu sana kimapenzi kwani kila ninapomueleza kile kinachonifurahisha anasema Mungu hataki kunyonyana, nikitaka tuendelee kuchezeana ili tuweze kwenda next round anasema Mungu anataka tuwe na kiasi. Nashindwa kuvumilia kwa sababu akishafika kileleni yeye anaacha hata kuwa active anakuwa idle anasubiri nisome gazeti niondoke zangu.
Kadiri muda ulivyoenda, tayari nimeshateleza na kutoka nje, nikakutana na binti ambaye hana mume. Historia yake aliishi na mwanamume bila kufunga ndoa, yule mwanamume alikuwa mfanya biashara na alienda kwa mganga kumfanyia mambo akawa kama mjinga fulani haondoki hapo anamtunzia biashara yake. Kwa maelezo yake huyo mwanaume hajawahi kwenda naye roundi mbili, ni moja tuu. Na muda mwingi anakuwa kwenye safari zake za kibiashara. Wakati fulani wakaja watu wakamfanyia maombi ndo hiyo mitego ya huyo mwanamume ikakosa nguvu binti akarudi kwao akiwa na mtoto mmoja.
Ukweli ni kwamba raha niliyokutana nayo kwa huyu binti sijapata kuiona na sioni tena thamani ya mke wangu. Linapokuja suala la maisha ya kawaida namkubali sana mke wangu ila linapokuja kufanya mapenzi, hisia zote zimehama. Huyu binti ni mtundu wa mapenzi na ananifikisha kilele cha furaha yangu. Nimekuwa nikifanya hili kwa siri kubwa na mpaka sasa halijajulikana. Ila tatizo ninalolipata sasa nikiwa kwangu ili niwe na mke wangu ni mpaka yeye anianze la sivyo hakuna kitu. Upande wa pili inaonekana yule binti ameshamwambia mama yake maana namwona mama ameanza kunichangamkia sana.
Nina hofu sana hatima ya hili penzi, niko njia panda ya penzi hili. Nipeni mawazo yenu
Piga sala sana kaka! Hicho kimeo kaka! Ukishamaliza sala fwata huu msemo.....HOME IS WHERE YOUR HEART IS!