Utawajengea wakwe zako nyumba?

Utawajengea wakwe zako nyumba?

Honestly mimi ni mchoyo na kitu ambacho sitakagi kusikia eti ukweni wanashida, mimi ndio nijitolee wakati wanavijana wakubwa, wana ndugu
 
Kwani kabla hamjakutana hao wazazi wake walikua wanaishi wapi?

Ntaangalia mahari wamenicharge kiasi gn kama ni 5M++ hyo sahau if possible nabomoa hata waliyonayo

Anyway kama mpunga upo ntawasaidia kama Sina ndo hvo tena ntawatumia Hela ya Christmas tu
 
Kwa ndoa zenu hizi za siku hizi? Ndoa za zimamoto hizi? Ila kama una mke material wala haisumbui ni fasta tu unawajengea!
 
Km mtoto wao hawatanigongea mtaani huko mimi najenga ila mambo ya kuzaa watoto 5 halafu 2 sio wa kwako ndo yanakatisha tamaa duniani hapa!!!!
 
Back
Top Bottom