S stormryder JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 3,776 Reaction score 5,786 Dec 10, 2023 #101 Honestly mimi ni mchoyo na kitu ambacho sitakagi kusikia eti ukweni wanashida, mimi ndio nijitolee wakati wanavijana wakubwa, wana ndugu
Honestly mimi ni mchoyo na kitu ambacho sitakagi kusikia eti ukweni wanashida, mimi ndio nijitolee wakati wanavijana wakubwa, wana ndugu
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Dec 10, 2023 #102 Ahsante ..nilikuwa namrwkebisha mtoa Uzi ameandika Mahali. To yeye said: Ni mahari mkuu Click to expand...
Ahsante ..nilikuwa namrwkebisha mtoa Uzi ameandika Mahali. To yeye said: Ni mahari mkuu Click to expand...
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Dec 10, 2023 #103 Kwani kabla hamjakutana hao wazazi wake walikua wanaishi wapi? Ntaangalia mahari wamenicharge kiasi gn kama ni 5M++ hyo sahau if possible nabomoa hata waliyonayo Anyway kama mpunga upo ntawasaidia kama Sina ndo hvo tena ntawatumia Hela ya Christmas tu
Kwani kabla hamjakutana hao wazazi wake walikua wanaishi wapi? Ntaangalia mahari wamenicharge kiasi gn kama ni 5M++ hyo sahau if possible nabomoa hata waliyonayo Anyway kama mpunga upo ntawasaidia kama Sina ndo hvo tena ntawatumia Hela ya Christmas tu
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Dec 10, 2023 #104 Kwa ndoa zenu hizi za siku hizi? Ndoa za zimamoto hizi? Ila kama una mke material wala haisumbui ni fasta tu unawajengea!
Kwa ndoa zenu hizi za siku hizi? Ndoa za zimamoto hizi? Ila kama una mke material wala haisumbui ni fasta tu unawajengea!
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Dec 10, 2023 Thread starter #105 stormryder said: Honestly mimi ni mchoyo na kitu ambacho sitakagi kusikia eti ukweni wanashida, mimi ndio nijitolee wakati wanavijana wakubwa, wana ndugu Click to expand... 😀
stormryder said: Honestly mimi ni mchoyo na kitu ambacho sitakagi kusikia eti ukweni wanashida, mimi ndio nijitolee wakati wanavijana wakubwa, wana ndugu Click to expand... 😀
L Lwasu JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,139 Reaction score 1,016 Dec 10, 2023 #106 Km mtoto wao hawatanigongea mtaani huko mimi najenga ila mambo ya kuzaa watoto 5 halafu 2 sio wa kwako ndo yanakatisha tamaa duniani hapa!!!!
Km mtoto wao hawatanigongea mtaani huko mimi najenga ila mambo ya kuzaa watoto 5 halafu 2 sio wa kwako ndo yanakatisha tamaa duniani hapa!!!!
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,929 Reaction score 8,327 Dec 11, 2023 #107 GoldDhahabu said: Kwa kuwa wewe na mke wako ni mwili mmoja, wewe nawe ni mmoja wa watoto wao wa kiume. Click to expand... Tuache siasa, walipokuwa wananipangia mahari hawakujua tunaenda kuwa mwili mmoja?
GoldDhahabu said: Kwa kuwa wewe na mke wako ni mwili mmoja, wewe nawe ni mmoja wa watoto wao wa kiume. Click to expand... Tuache siasa, walipokuwa wananipangia mahari hawakujua tunaenda kuwa mwili mmoja?