Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
C.E.O wa Shishi Food ambaye pia ni Msanii wa Bongofleva Shilole, amesema nje ya ndoto yake ya kuja kuwa Mbunge analo ombi kwa Rais Magufuli akimuona anafaa basi walau amteue kuwa Mkuu wa Wilaya maana anaamini katika uwezo wake wa uongozi.
“Napenda kuwa Mbunge lakini kabla ya kuwa Mbunge ninalo ombi kwa Rais wangu Magufuli, licha ya kwamba sijasoma nimeishia darasa la saba lakini nina akili na ninaweza kuwaongoza watu, akinifikiria akanipa U-DC nitampa matumaini makubwa na kuwajali wananchi wake”-SHILOLE.
“Napenda niwe DC, Magufuli Mimi sijasoma lakini nina akili na naweza kuwaongoza Watu, Jokate nampenda anafanya kazi bila kuchoka, hajifikirii yeye anaifikirii Jamii isogee, napenda niwe kama Jokate, anapambana sana hata Rais akimuongezea nafasi ampe nafasi nyingie ambayo anaweza kusaidia Jamii"- SHILOLE.
My Take: Tunaishi maisha ya banda wakati deki inakula kanda.