Utawala huu wa Magufuli: Shilole aomba ateuliwe kuwa DC

Kila mtu ana haki ya kusema anachotamani na kila mtu anawajibika kufanya kazi ili kuwa anachomani pia
 
Hawezi kuteuliwa kwa sababu ya tabia yake ya kupenda viben10
 
Bado anaweza kielimu
It's not late, elimu haina mwisho
 
Kigogo kasema shishi alivinja ndoa na uchebe kwa sababu ya penzi la mama wa kizanzibari kwwnye ofisi kubwa
 
Hivi mtu ukipata umaarufu hata wa kuokota makopo mitaani unaomba uongozi ndani ya Serikali? Kweli tumefikia huko!!!. Hebu aendelee kupika kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…