JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Utawala au uongozi sikivu ni ule unaosikiliza maoni, maombi au maswali ya wanaongozwa na kuyatolea ufafanuzi kwa namna na wakati sahihi.
Kufanya maamuzi kwa wakati bila kungoja na kutoa ahadi zinazotekelezeka ndio msingi wa utawala sikivi.
Ufafanuzi unaotolewa na uongozi si lazima uwe chanya kwa wananchi, lakini kupatiwa majibu ni muhimu kuliko kiongozi kudharau maombi ya anaowaongoza.
Kiongozi anapaswa kusikiliza maoni ya wengine hata ikiwa ana mtazamo tofauti kuhusu swala hilo.
Upvote
0