Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

Na wabunge walianza kulishupalia hilo jambo wakijua kwamba, , endapo magufuli akiwa wa millele basi bunge nalo litakuwa la milele. Kampeni ilianzia mbali zaidi kwa kujenga bunge la chama kimoja. MWEZI WA MUNGU AMEN
 
Wapambe walikuwa wanaangalia ulaji tu. Muswada ungepelekwa bungeni nani angepinga chini ya bunge la chama kimoja? Inahitaji akili ya kawaida tu kujua kwamba hata magufuli tayari alikuwa ameridhia kuendelea kukalia kiti kwa kisingizio cha kukamilisha miradi.
 
Halafu Jambo lililoingia bungeni unawezaje kuliita Hearsay ?
 
Siasa za Tanzania kwa kiasi kikubwa ni za kuangalia watu, si za kuangalia sera.

Nilisikitika sana kuona Rais Ali Hassan Mwinyi (RIP) naye kashadadia ujinga huu.
 
Yalikuwa mapumbavu tu.Hawana cha kujitetea.
 
Kwani si ndie rais?!
 
Na wabunge walianza kulishupalia hilo jambo wakijua kwamba, , endapo magufuli akiwa wa millele basi bunge nalo litakuwa la milele. Kampeni ilianzia mbali zaidi kwa kujenga bunge la chama kimoja. MWEZI WA MUNGU AMEN
Wabunge wa ccm bi bendera fata upepo mradi mambo yao yaende tu
 
Uchawa mwingi.

Nyerere alisema kila alivyotaka kung'atuka kuna watu walikuwa wanamuambia "Mwalimu tunakuhitaji bado".

Baadaye akawastukia kumbe wanasema vile kwa kutetea ulaji wao.
Hahahaaa na ndivyo ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…