Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

Sasa Swali letu ni hili
Hapana naona unamsema Mwenyekiti Freeman E. Mbowe mafumbo ya Maswali!! Kuwa makini, huyo ni shida ..waulizwe walioshuhudia wenzako waliocross mstari wa jamaa kilichowakita!!!
 
Hapana naona unamsema Mwenyekiti Freeman E. Mbowe mafumbo ya Maswali!! Kuwa makini, huyo ni shida ..waulizwe walioshuhudia wenzako waliocross mstari wa jamaa kilichowakita!!!
Mkilewa msiingie jf
 
Mbowe amekalia kiti kwa kidingizio kuwa akiondoka chama kitayumba!
 
Najuwa umeweka hata ushahidi wa picha kuunga mkono hoja yako, na ninakubaliana nawe. Sasa niambie kama hujasikia watu kama hao hao ulioweka picha zao, leo hii wakisema yale yale kwa huyu aliyepo sasa!

Nchi hii tatizo letu ni kuwaruhusu watu wa makundi ya aina hii kuwa ndio wanaoongoza akili za wengine wote. Hata watu walio na akili timamu wanaposikia ujinga wa aina hizi na wao akili zinawaruka kichwani, wanabaki kuwa kama mazuzu.
Samahani lakini, sikukusoma humo ndani, nimeona tu kichwa cha habari na kuangalia picha nikaelewa ulichokieleza.

Magufuli alikuwa mbovu sana katika mambo mengi; lakini sasa tunaona tofauti kubwa sana iliyopo, hasa katika yale mazuri aliyokuwa akiyasimamia kwa manufaa ya nchi hii.
Erythro, rafiki yangu, huu siyo wakati wa CHADEMA kuhangaika na haya. Najuwa unafahamu kazi kubwa sana inayosubiri kufanyika. Msitelekeze wajibu wenu huo, kwa kupoteza muda na haya yasiyokuwa na manufaa yoyote kwa waTanzania kwa wakati huu.

Bado sijarudi, lakini kiherehere kimenilazimisha niyaweke haya kwenye mada yako hii.
 
Nje ya mada , inasikitisha sana kwa vijana wa ccm kukosa hoja kabisa hapa Jf kiasi cha kutia aibu .
Hapana. Huyo jamaa ana pointi sana ambayo wewe ndiye unayetaka kuipindisha kwa maksudi kabisa.
 
Karibu sana mkuu , nadhani ulichelewa kidogo , hizi mada si za Chadema ni mada zangu kwa ajili ya mwezi wa 3 ambao ni mwezi wa Mungu , kutokana na " Kwaresma na Ramadhan " kukutana , lengo langu ni kuhakikisha haya mambo hayajirudii tena
 
Hivi j.mkamia yuko wapi????

Yule mb alikuwa nkasi naye alikuwa akiongea mpk anataka kulia πŸ˜„

Ova
 
Labda Mkapa na Mwinyi walinga mkono.
JK sidhani.
Lakini watu hutamani kiongozi fulani aendelee kutokana na utendaji wake unavyowagusa.
Mifano ni mingi
China ()Xi Jinping) Ujerumani (Angela merkel) Chadema (Freeman Mbowe) n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…