Utawala wa Biden waliomba bunge kupitisha ombi la msaada wa trilion 28 kwa ajili ya Ukraine.

John7371

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
2,994
Reaction score
6,676
Washington. Serikali ya marekani imeliomba bunge kupitisha ombi jipya la bajeti ya matumizi kwa ajili ya Ukraine linalokadiriwa kufikia trilion 28.

Ombi hili jipya la utawala wa Biden linalenga kuisaidia Ukraine kijeshi na kiuchumi katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi.

Senators from both parties have been largely supportive of providing Ukraine with more military assistance. The White House request for the spending bill included $11.7 billion for security and economic assistance for Ukraine, on top of some $40 billion Congress has already approved to help the country battle Russia’s invasion. AP
 
Annual Budget ya US ni around $ 6.2 Trillion. Na current US debt hipo around $30 trillion na hapo hapo debt celling Ni $31.4 trillion (diff is around $1.4 trillion)

Sasa, wewe unaanzaje kusema kwamba Biden Administration wanaomba Senate ipitishe $28 trillion kwa ajili ya ku support Ukraine. Hiyo $28 trillion wataitoa wapi?

Hivi ni kwa nini mnapenda kujidhalilisha? Ni kweli mpo wapumbavu na wajinga kiasi hiki?

Inawezekana ishu ya Mental health ikawa ni kubwa sana hapa Tanzania.

View attachment 2369171
 
Sasa hapa kati ya mimi na wewe nani mpumbavu? Onyesha mahala palipo andikwa 28trillions usd? Ujuaji mwingi kumbe bogus.
 
Annual Budget ya US ni around $ 6.2 Trillion. Na current US debt hipo around $30 trillion na hapo hapo debt celling Ni $31.4 trillion (diff is around $1.4 trillion)

Sasa, wewe unaanzaje kusema kwamba Biden Administration wanaomba Senate ipitishe $28 trillion kwa ajili ya ku support Ukraine. Hiyo $28 trillion wataitoa wapi?

Hivi ni kwa nini mnapenda kujidhalilisha? Ni kweli mpo wapumbavu na wajinga kiasi hiki?

Inawezekana ishu ya Mental health ikawa ni kubwa sana hapa Tanzania.

View attachment 2369171

Hiyo trilion 28 ni Tz shillings mkuu
 
Wapi kaandika $28 trilion? Hzo ni tsh
 
Zile zamwanzo zimeondoka na
LUHANSK
DONESTK
KHERSON na
ZAPORINHE
Hizo zijazo zitaondoka na
ODESSA
KHARKIV
LIVIV na
SUMY
We need moo sankshen[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bla! Bla! Bla!

Zile za mwanzo zilikua $40 bilioni,zilizoenda Ukraine ni $15 bilioni tu bado $25 billion. Huo msaada mpya unakuja baada ya Russia kufanya Kura yake haramu ambayo Marekani na NATO wamesema hawatambui na kwamba wataongeza zaidi misaada ya silaha kwa Ukraine ili Ukraine apiganie mpaka hayo maeneo ambayo yanapiga Kura ya kujiunga na Urusi. Vitisho vya nyuklia vya Putin wamesema wameshavizoea na NATO ilishamwambia Putin kwamba kwenye vita vya nyuklia hawezi shida kamwe.
 
Hivi marekani ana interest gan na Ukraine wakuu, manake duuh
 
Bla! Bla! Bla!

Zile za mwanzo zilikua $40 bilioni,zilizoenda Ukraine ni $15 bilioni tu bado $25 billion. Huo msaada mpya unakuja baada ya Russia kufanya Kura yake haramu ambayo Marekani na NATO wamesema hawatambui na kwamba wataongeza zaidi misaada ya silaha kwa Ukraine ili Ukraine apiganie mpaka hayo maeneo ambayo yanapiga Kura ya kujiunga na Urusi. Vitisho vya nyuklia vya Putin wamesema wameshavizoea na NATO ilishamwambia Putin kwamba kwenye vita vya nyuklia hawezi shida kamwe.
Tushuhudie hiyo nuki ya Russia. Naisubiria hapa Olmatejo
 
Annual Budget ya US ni around $ 6.2 Trillion. Na current US debt hipo around $30 trillion na hapo hapo debt celling Ni $31.4 trillion (diff is around $1.4 trillion)

Sasa, wewe unaanzaje kusema kwamba Biden Administration wanaomba Senate ipitishe $28 trillion kwa ajili ya ku support Ukraine. Hiyo $28 trillion wataitoa wapi?

Hivi ni kwa nini mnapenda kujidhalilisha? Ni kweli mpo wapumbavu na wajinga kiasi hiki?

Inawezekana ishu ya Mental health ikawa ni kubwa sana hapa Tanzania.

View attachment 2369171

Pale unapojifanya mjuaji kwa kukosoa mtu tena ukibold kabisa kumbe wewe ndiyo unapuyanga.Punguzeni mihemko,ungesoma kwa kutulia usingepata hizi aibu ndogo ndogo.Hiyo mental Health inakuhusu wewe kabla ya wengine.
 
Back
Top Bottom