Utawala wa Biden waliomba bunge kupitisha ombi la msaada wa trilion 28 kwa ajili ya Ukraine.

Utawala wa Biden waliomba bunge kupitisha ombi la msaada wa trilion 28 kwa ajili ya Ukraine.

BREAKING: Marekani imesema haitambui kura zinazopigwa kwenye majimbo yanayokaliwa na Urusi nchini Ukraine na kwamba itaruhusu Ukraine kuyashambulia maeneo hayo Licha ya Urusi kutishia nyuklia iwapo yatashambuliwa. Mambo yanazidi kua magumu,ngoja tuone.

 
Annual Budget ya US ni around $ 6.2 Trillion. Na current US debt hipo around $30 trillion na hapo hapo debt celling Ni $31.4 trillion (diff is around $1.4 trillion)

Sasa, wewe unaanzaje kusema kwamba Biden Administration wanaomba Senate ipitishe $28 trillion kwa ajili ya ku support Ukraine. Hiyo $28 trillion wataitoa wapi?

Hivi ni kwa nini mnapenda kujidhalilisha? Ni kweli mpo wapumbavu na wajinga kiasi hiki?

Inawezekana ishu ya Mental health ikawa ni kubwa sana hapa Tanzania.


View attachment 2369171
ujuaji mwiiingi kumbe ukilaza umekuja bwana mdogo
methali ya kuchamba kwingi huondoka na kimba ndio ina reflect ulicho kiandika apa (kilerzer) wewe
 
Mngekua mnaweza kujiuliza ,mgejiuliza hivi.
Hivi Ile misaada yote aliyokwisa kutoa Marekani imesaidia Nini?
Na kama imesaidia,hii anayoongeza ni ya kazi Gani?
Unajua maana ya kuongeza?
Kuongeza maana yake Ile ya kwamza haikutosha.

Jambo jingine.

Kwa misaada anayoitoa USA kwa Ukraine maana yake USA anaipenda sana Ukraine au anaijali sana ana ameguswa sana.

Kwa nguvu ya misaada anayoitoa USA kwa Ukraine,nadhani Urusi Ingekua na uwezo mdogo kama alionao Uturuki Sasa hivi,nadhani USA na NATO wangeisha ingiza majeshi rasmi kuipiga Uturuki.

Hali kama hii ilitokea 1991 Iraq ya Sadam Husein ikiivamia Kuwait,
Marekani alikusanya lundo la washirika na wengi wao wakiwa ni Wanachama wa NATO kwenda kumpiga Iraq na kumtoaa Kuwait.

Mazingira ya uvamizi yanafanana kabisa,lkn USA anazunguka na misaada TU.
NATO iliindwa ya nini?
 
Reuters: US prepares $1.1 billion arms package for Ukraine.
 
The latest installment of weapons will likely include HIMARS launcher systems and accompanying munitions, different counter-drone and radar systems, along with spares, training and technical support.
 
Back
Top Bottom