Utawala wa Biden watengeneza ajira kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa wastani kwa mwezi

Utawala wa Biden watengeneza ajira kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa wastani kwa mwezi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Uchumi umetengeneza ajira zaidi ndani ya miezi minne ya kwanza ya Utawala wa Biden kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa mwezi kwa wastani. Hiyo sio kwa bahati - mpango wa uchumi wa Biden unafanya kazi.

The economy has created more jobs under the Biden Administration's first four months than any other administration in history - more than 500,000 jobs a month on average.

That's not by chance - the Biden economic plan is working.

 
Hata sera za SSH zimeleta tija kubwa ndani ya siku 100 kuliko wengine wote waliopita.

Uchumi shirikishi
 
Unajua ata ukiwauliza serikalini toka awamu ya 6 iingie madarakani imetengeneza ajira ngapi unaweza kuambi a laki 3?
Nchi hii haina watu wanaojielewa na kuna hadi idara za kazi mikoani sijawahi ona.hata siku moja wakifuatilia kuona na kuhimiza ajira stahiki kwenye miradi
 
Hao ni watu wanaorudi makazini baada ya lockdowns zao na effects za COVID 19, Si kwamba hawakuwa na kazi hapo awali bali kazi nyingi zilisimama au kufutwa kutokana na effects policies walizoweka
 
USA ndio nchi inayoongoza kuwa na uchumi mkubwa duniani sasa kuifananisha kwenye suala la ajira na 3rd world country Tanzania ni ujinga uliopita viwango.

Kwa ujinga huo wa wananchi ni wazi kwanini hakuna ajira.
 
Back
Top Bottom