Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Nchi hii haina watu wanaojielewa na kuna hadi idara za kazi mikoani sijawahi ona.hata siku moja wakifuatilia kuona na kuhimiza ajira stahiki kwenye miradiUnajua ata ukiwauliza serikalini toka awamu ya 6 iingie madarakani imetengeneza ajira ngapi unaweza kuambi a laki 3?
Hao ni watu wanaorudi makazini baada ya lockdowns zao na effects za COVID 19, Si kwamba hawakuwa na kazi hapo awali bali kazi nyingi zilisimama au kufutwa kutokana na effects policies walizoweka
... vacancy nyingi zimetokana na vifo vya Corona; kufa kufaana.Ukweli wanao waajiriwa