Ndio maana hao jamaa wanapenda starehe kama walivyo wahispaniola wenyeweBrazil haikutawaliwa na Wahispaniola
Brazil imetawaliwa na Wareno ila kifupi Amerika ya Kati na kusini ukiacha Brazil na Suriname basi Amerika ya Kati na kusini kumetawaliwa na Wahispaniola
Wanaisubiri nni kununua Tanzania. Ccm wameshashindwa kuendesha nchi... Sure! Kama alivyonunua Alaska (1,723,337 sq. km. - almost twice of Tanzania) kutoka Russia (inasemekana by then was US$ 7,000,000). Pia Trump recently alianzisha mchakato wa kuinunua Greenland kutoka Denmark. Hawa jamaa kwa kununua ardhi wako vizuri.
Walitandikwa vibaya mno na USA kwenye vita.Walitawala Cuba pia hata Marekani Missouri, California,Florida 1400-1500 ilikuwa coloni la Hispania
kipindi hicho ilikuwa ela kubwa sanaDola Milioni 7.2, mnamo 1867
Mimi mwenyewe kama mtaalam wa historia nilitaka kuweka kumbukumbu sawa.
Ninawakubali sana hawa watuNdio maana hao jamaa wanapenda starehe kama walivyo wahispaniola wenyewe
Hivi wamexico kabla ya kutawaliwa na wahispaniora walikuwa na utamaduni gani?lugha gani?... of course na Mexico, Texas, na New Mexico (USA).
nani alitawala canada?USA alinunua land kutoka kwa Hispania. Kama si u one u malipo ya ardhi wasipewe natives anapewa mkoloni.
Sielewi mtu akisema wahispania au wareno walitawala latin america, wakati hadi leo wahispania na wareno wapo huko huko na wanaendelea kutawala. Walitoka Ulaya wakahamia America kati na kusini na hadi leo wapo huko wanaongoza hao hao . Africa waliondoka wakawaachia utawala waafrica... na lugha rasmi ya Brazil ni Kireno; labda ulitaka kumaanisha Argentina; hawa ndio walitawaliwa na Spain na lugha yao ni "Argentine Spanish".
... nchi hizo za latin america zina tarehe zao za kupata uhuru; so inamaanisha utawala wa wareno au wahispania uliishia siku ya uhuru. In other words, maamuzi ya nchi hizo hayaamuliwi Madrid au Lisbon kama ilivyokuwa kabla ya uhuru; yanaamuliwa na nchi hizo wenyewe. Hatuzungumzii rangi za watawala.Sielewi mtu akisema wahispania au wareno walitawala latin america, wakati hadi leo wahispania na wareno wapo huko huko na wanaendelea kutawala. Walitoka Ulaya wakahamia America kati na kusini na hadi leo wapo huko wanaongoza hao hao . Africa waliondoka wakawaachia utawala waafrica