chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers.
Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu, wafanyabiashara wa kitanzania walikimbia nchi wakati wachina, waturuki na wamisri wakivimba matumbo kwa shibe.
Alifungia tenda zote za ujenzi kwa wakandarasi wa ndani na alikaribisha wachina, waturuki, wale chakula Cha watanzania.
Akaunti za wafanyabiashara wa kichina na kituruki zilinona wakati za watanzania alizifunga na kufilisiwa.
Makampuni ya kigeni yalinoga nchini wakati ya wazawa yalifungiwa na kariakoo iliyokuwa inavuma ikiuwawa.
JPM alizunguka nchi nzima akihubiri jinsi alivyo na upendo na mtu yeyote atakayechagua kuwa masikini na mnyonge.