Utawala wa Kijeshi Niger: Mkituma Jeshi tutamuua Rais Bazoum

Acha wakurupuke
 
Kilichobaki kwa sasa ni Bazoum kutoa tamko kakubali kushindwa[emoji23]
Bazoum anaanzaje kutoa tamko la kukubali kushindwa wakati yeye ndio alikuwa rais.

Bazoum akitoa tamko la kushindwa basi anakuwa amejipindua mwenyewe kwa sababu anakuwa ameenda kinyume na demokrasia ambapo yeye mwenyewe alichaguliwa kupitia uchaguzi.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wanatishia nyau? Wao wakiangushwa watanyongwa so warudi jeshini na majenerali waende uhamishoni Rais arudi madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…