Utawala wa Kijeshi Niger: Mkituma Jeshi tutamuua Rais Bazoum

Utawala wa Kijeshi Niger: Mkituma Jeshi tutamuua Rais Bazoum

Kuna nchi ni ngumu sana kuziishi, Mali, Sierra Leon, Somali, Sudan, Liberia, Burkina Faso, yaani ni tatizo

Ukipata kazi huko ya kufanya ni bora mtu usiende tu, uteme hilo tonge.
Tanzania itaingia huko Sasa hivi. Subirini ngede ya Mwarabu na washirika wake waanze vurugu zao. Hapa Tanzania hapata kalika. Wenzetu wana sehemu pa/za kukimbilia, Omani na Dubai na kwningine huko.

Vurugu za huko sio kuhusu Rasilimali tu bali na Ubaguzi walioupata watu wa huko. Mkondo mzima ule wa kutoka sudan mpaka mali and beyond, umekuwa ukitawaliwa na aidha mwarabu au chotara. Haya maneno maneno mengine ni geresha tu.
 
Niger’s junta told a top U.S. diplomat that they would kill deposed President Mohamed Bazoum if neighboring countries attempted any military intervention to restore his rule, two Western officials told The Associated Press.
Blackmail
 
Tanzania itaingia huko Sasa hivi. Subirini ngede ya Mwarabu na washirika wake waanze vurugu zao. Hapa Tanzania hapata kalika. Wenzetu wana sehemu pa/za kukimbilia, Omani na Dubai na kwningine huko.

Vurugu za huko sio kuhusu Rasilimali tu bali na Ubaguzi walioupata watu wa huko. Mkondo mzima ule wa kutoka sudan mpaka mali and beyond, umekuwa ukitawaliwa na aidha mwarabu au chotara. Haya maneno maneno mengine ni geresha tu.
Hulka za watu wa Niger au Burkina Faso na kwingineko, siyo hulka za waTanzania, na wao wangekua na hulka kama za waTanzania wala usingesikia mambo ya kupindua nchi, msilazimishe vitu ambavyo hapa kwetu havipo
 
Wanacheza mgoma ya Ufaransa, huyo Bazoum alikuwa kibaraka wa ufaransa, waache kuingilia mambo ya wengine
 
Back
Top Bottom