Utawala wa Mpinga Kristo u karibu

Utawala wa Mpinga Kristo u karibu

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.

Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.

Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.

Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
 
We mwenyewe akili huna kama wewe uliaminishwa na kuamini kuwa dunia inamika hiyo tajwa ndivyo nayeye kasoma na kuamini hivyo
Wew ndio akil huna ndugu yangu.. kama zipo mashine za kukupima umri wako accurately kabisa had sekunde uliyozaliwa. Pia jua kuna mashine znapima umri wa miamba accurate kabisa.. sasa ipo miamba dunian hapa ina umri wa miaka had 3.2bilion.. ukibisha na hili bas sina budi kukuita ngwini
 
Tuliza kichwa home boy,kikubwa shika imani yako haya mambo hayako kama unavyofikiria wewe.

Huyo mpinga kristo unayesema anaweza kuwa ata wewe sema hujijui, kwanini nasema hivyo, ni kwamba those who believe in Jesus Christ are asked not to judge others or be alarmed by any signs that might display.

Sasa kama wafuasi wote wa kristo wanakumbushwa haya, wewe sasa kwanini usiwe mpiga kristo kwa maana hata ujumbe wa bwana haujui
 
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.

Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.

Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.

Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
Yote hayo ili iweje kwa mfano.. shida yootr hyo ili iweje?... Inamana mwanadam kaumbiwa aje ateseke au..? Kwamba ili yeye tu aprove kwamba anampenda mungu au?.. hahaha. Dah.. din hiz zmetuweza kwakwel?
 
NWO
Time will tell
"Hata yodi moja haitafutika, hata yote haya yatimie "
 
Fanya kazi ndugu. Dunia hii tuliyopo ina umri Wa 4.5 billion sasa wewe endelea kuota. Utakufa wewe na siyo Dunia
Kabisa hii dunia bado itaendelea kuishi makadirio huenda ikafikia miaka bilioni 4.5 ,sayari ya mass inachunguzwa binadamu kuishi, na hapo kuna watu wataenda kuishi sayari ya mass tena na yenyewe ijae fikiria huo ulimwengu utakuwa na mwisho lini
 
Wew ndio akil huna ndugu yangu.. kama zipo mashine za kukupima umri wako accurately kabisa had sekunde uliyozaliwa. Pia jua kuna mashine znapima umri wa miamba accurate kabisa.. sasa ipo miamba dunian hapa ina umri wa miaka had 3.2bilion.. ukibisha na hili bas sina budi kukuita ngwini
Kubishana siwezi poa kilamtu abaki na imani yake
 
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.

Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.

Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.

Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
Ukienda kwenye maandiko matakatifu kuna mambo yameandikwa lazima yatokee kuna hii kitu inaitwa " maarifa "watu watakuwa na uwezo wa kutengeneza vitu na kubuni vitu
 
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.

Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.

Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.

Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
ward41 Umesema kweli. Kweli isiyoonekana kwa haya macho wala fikra za kawaida. Watakubeza ndiyo lakini kutimia yatatimia tu.
 
Tuliza kichwa home boy,kikubwa shika imani yako haya mambo hayako kama unavyofikiria wewe.

Huyo mpinga kristo unayesema anaweza kuwa ata wewe sema hujijui, kwanini nasema hivyo, ni kwamba those who believe in Jesus Christ are asked not to judge others or be alarmed by any signs that might display.

Sasa kama wafuasi wote wa kristo wanakumbushwa haya, wewe sasa kwanini usiwe mpiga kristo kwa maana hata ujumbe wa bwana haujui
Haya ni mambo ya rohon, hata hizo chapa za 666 zinapigwa rohoni na sio mwilini. Shetani hawezi kuja kukwambia akupge chapa ya 666 au laah. Bora umemueleza ukweli mpinga kristo wa kwanza anaweza akawa hata yeye.
 
Wabashiri wengi wa mwisho wa dunia ni walokole wenye itikadi kali, aka evangelical Christians. Hiki ni kizazi cha waliodanganywa na wakadanganyika.

Yupo mchungaji wao mmoja aliyeanzisha uvumi kuwa ameambiwa na Mungu kuwa mwisho wa dunia ni 2001. Aliangukia pua.

Tuzidi kuwaombea hawa wabashiri wa mwisho wa dunia.
 
Back
Top Bottom