Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hilo gazeti wale wenye akili timamu siku hizi hawanunui,labda alikute ofisini anaweza kusoma habari za michezo na matangazo ya biashara tuuChanzo ni Habari Leo??????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo gazeti wale wenye akili timamu siku hizi hawanunui,labda alikute ofisini anaweza kusoma habari za michezo na matangazo ya biashara tuuChanzo ni Habari Leo??????
mgombea urais wa chadema w.slaa anatamba kufuata katiba na utawala wa sheria!! Lakini wachambuzi wa siasa na sheria wanaona hiyo ni danganya toto na ni kauli za kitapeli tu!!!
Gonga hapa upate ufafanuzi zaidi: habarileo | dk.magufuli: Dk. Slaa mzushi
soma unafiki wa chadema hapa: habarileo | siri ya wabunge viti maalumu chadema yavuja
sasa chadema munataka kutudanganya wadanganyika tuwape kura zetu mutuache katika mataa?
MANENO YA MTU ALIYEISHIWA HOJA NI KAMA HAYA YAKO. PUMBA NI ZAKO NA UNAOWATUMIKIA
PUMBA NYINGINE HIYO!!!!