Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Kwamba muwekezaji Rashid ni mjinga aamke na kuanza kubomoa kama mwehu bila kuogopa mali za watu? Eneo ni mali ya CCM chama cha mafisadi nawezi.
Kwanini alipokuwa anabomoa hao CCM wapo kimya?
Serikali inaingilia vipi wakati hawana mkataba na Rashidi?
Rashid kwanini hukumpiga ngumi nzito Msukuma akaumuka uso?