Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hati ya kurasa 281 iliyopatikana na gazeti la The Times inaonyesha mipango ya utawala wa Trump kuhusu maelfu ya miradi ya misaada ya kigeni.
Utawala wa Trump unakusudia kusitisha msaada wa kifedha wa Marekani kwa Gavi, shirika ambalo limekuwa likinunua chanjo muhimu kwa watoto katika nchi zinazoendelea, hatua iliyookoa mamilioni ya maisha kwa zaidi ya miaka 25. Aidha, msaada kwa juhudi za kupambana na malaria, moja ya magonjwa yanayosababisha vifo vingi ulimwenguni, utapunguzwa kwa kiasi kikubwa.
Soma Pia: Trump asitisha misaada ya ARV na dawa za Malaria kwa muda
Hata hivyo, serikali itaendelea kutoa baadhi ya misaada muhimu, ikiwa ni pamoja na ufadhili wa dawa za kutibu UKIMWI (H.I.V.), kifua kikuu (TB), pamoja na misaada ya chakula kwa nchi zinazoathiriwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe na majanga ya asili.
Maamuzi haya yamejumuishwa kwenye hati ya kurasa 281, iliyotumwa kwa Bunge la Marekani na Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) Jumatatu usiku. Gazeti la The New York Times limepata nakala ya hati hiyo pamoja na nyaraka zingine zinazoelezea mipango hiyo.
==================
The Trump administration intends to terminate the United States’ financial support for Gavi, the organization that has helped purchase critical vaccines for children in developing countries, saving millions of lives over the past quarter century, and to significantly scale back support for efforts to combat malaria, one of the biggest killers globally.
The administration has decided to continue some key grants for medications to treat H.I.V. and tuberculosis, and food aid to countries facing civil wars and natural disasters.
Those decisions are included in a 281-page spreadsheet that the United States Agency for International Development sent to Congress Monday night, listing the foreign aid projects it plans to continue and to terminate. The New York Times obtained a copy of the spreadsheet and other documents describing the plans.