Utawala wa Trump unataka kumnyang’anya Ilhan Omar uraia wa Marekani: WSJ

Utawala wa Trump unataka kumnyang’anya Ilhan Omar uraia wa Marekani: WSJ

Hana moto wowote. Waafrika tuna tabia ya kujisahau na kusahau tulipotoka. Nchi yake yenyewe ilimshinda akaenda kuwa mkimbizi Kenya, kapata uraia wa hisani halafu anataka kujiona yeye ndo mmarekani kuliko waliozaliwa huko. Yaan yeye kuingia huko mwaka 1995 basi amejiona yeye ndo anaijua vizuri marekani hata kuliko waanzilishi wake.
Moto unaousema ni moto wa kidini ambao kwa marekani hauna maana kwa sababu ni Taifa la kibaptist. Huo moto angeupeleka kipindi cha Biden au angesubiri utawala mwingine wa Chama chao. Huo moto uliwaponza ndugu zake wa Kisomali baada ya kukumbwa na kashfa ya udanganyifu karibu dola milioni 250. Amesababisha baadhi ya ndugu zake wasomali kuishi maisha magumu na kukabiliwa na mashtaka ya udanganyifu. Udini wake umeharibia watu maisha yao.

Japo kwa sehemu kubwa hakuna kibaya kitamkuta, ila akae kwa kutulia akijua kwamba yeye ni msomali na uraia wake ni wa Hisani tu
Hakuna cha ujinga wala nini, fuatilia Sera za huyo bidada, utajua kuna kitu hakiko sawa.
 
Changushangaza wale wale wapigania haki Tanzania wanaupongeza uamuzi wa hovyo namna hiyo kwakuwa tu anayefanyia uonevu huo ni Muislm,

Haya yanaendelea kupigia mstari maelezo yangu juu ya Ukristo kuwa ni Dini ya walishwa chuki za kidini kuliko Dini yeyote ile hapa Duniani.
kwani wewe alipotekwa soka,ben sanane,mlay,mbise,aman manengelo na wengine ulisema nini shenzi kabisa.
 
wanasema kuwa watekaji,wafiraji na mafisadi lazima kufikia 2030 yatakimbia nchi maana yatachinjwa kama nguruwe.
Safi sana...tuanze kesho kufanya hivyo sasa hamna kuacha kabisa. Yaani waliwapiga watu wetu walikua wanachoma petrol stations za mafisadi, mwendokasi zetu , vituo vya polisi yaani. Lazma tulipize kisasi
 
Western should imposes strictly measures for those radicals and rational extremists , before to late.

You have given a better education, health and wealth management system, and still you support islamists jihad?
 
Ni kajinga kuna kipindi kwenye bunge lao alitamka kuitetea Somalia kama vile amewejwa na wasomali amewaharibia future wasomali wenzake.
 
Hii ndio ile mnampa mtu lifti au anapanda meli yake, akiingia ndani anawavuruga balaa... Hii inatokea kwenye maeneo mengi, unamwajiri mtu anakuja kuwa mwiba, kwenye ndoa na mambo mengine mengi....... Umebeba kirusi
 
England kulikua na sheikh mmoja kutoka Misri anaitwa Abu Hamza Al -Masri, alihamia pale akapewa uraia na huduma zote.
Gafla akaanza mambo yao kama ya kina shekh Mwaipopo. 2004 wakamtia ndani miaka saba, 2012 wakamvua uraia halafu akarudishwa kwao Misri akahubiri jihad.
 
Wachunguzi wamewaita ndugu zake kutoa ushahidi na kuchunguza rekodi za uhamiaji, kwa mujibu wa gazeti la The Wall Street Journal.

Tarehe ya kuchapishwa: 15 Oktoba 2026

Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump unamchunguza Mbunge wa Chama cha Democratic, Ilhan Omar, kwa lengo la kubatilisha uraia wake wa Marekani na hatimaye kumfukuza nchini humo, kwa mujibu wa gazeti la The Wall Street Journal (WSJ), likinukuu maafisa wa Marekani na watu wanaofahamu uchunguzi huo.

Uchunguzi huo unahusu kwa sehemu namna mwakilishi huyo wa jimbo la Minnesota alivyopata uraia wa Marekani baada ya kuwasili nchini humo akiwa mkimbizi kutoka Somalia, gazeti hilo liliripoti Jumatano.

Mamlaka za Marekani zinachunguza rekodi za uhamiaji za familia yake na zimetoa zaidi ya hati 12 za kisheria zinazowataka watu kutoa nyaraka au ushahidi. Miongoni mwa waliohusishwa na hatua hiyo ni baadhi ya ndugu zake, ambao wameitwa kutoa ushahidi mbele ya jopo la majaji wa mahakama kuu ya uchunguzi (grand jury) huko Minnesota.

Ofisi ya Omar imeukataa uchunguzi huo, ikiuelezea kama usio na msingi, katika maelezo iliyoyatoa kwa gazeti hilo.

Ripoti ya Wall Street Journal imechapishwa siku chache tu baada ya maafisa wa serikali ya shirikisho la Marekani kuvamia nyumba ya mbunge huyo. Ofisi yake ilielezea tukio hilo kama “ongezeko lisilo na mfano la hatua za utawala wa Trump dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa.”

Msako huo umefanyika wiki chache kabla ya uchaguzi wa katikati ya muhula wa urais, utakaofanyika Novemba 3. Uchaguzi huo ni muhimu kwa Warepublican wanaojaribu kuendelea kudhibiti Bunge la Marekani. Omar anawania kuchaguliwa kwa muhula wa tano katika Jimbo la 5 la uchaguzi la Minnesota.

Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani (DHS) imesema msako huo ni sehemu ya “uchunguzi unaoendelea wa serikali ya shirikisho.”

Kwa mujibu wa watu wanaofahamu msako huo, maafisa walichukua pasipoti ya Omar, simu yake ya mkononi, kompyuta zake binafsi na madaftari yake, gazeti hilo liliripoti.

Omar aliwasili Marekani mwaka 1995 baada ya kuishi katika kambi ya wakimbizi nchini Kenya, na akawa raia wa Marekani mwaka 2000. Hapo awali amekanusha kufanya udanganyifu wowote wa uhamiaji.

Kiini cha uchunguzi wa uraia

Suala kuu katika uchunguzi huo ni iwapo Omar au marehemu baba yake walibadilisha umri wake kwenye nyaraka za uhamiaji ili kuonyesha kwamba alikuwa na umri wa miaka 17 badala ya miaka 18 wakati baba yake alipowasilisha maombi ya uraia, kwa mujibu wa Wall Street Journal.

Gazeti hilo linaripoti kwamba wachunguzi wanachunguza iwapo taarifa hiyo ilimwezesha Omar kupata uraia kupitia kwa baba yake badala ya kufuata utaratibu tofauti wa kuomba uraia.

Baba yake Omar alifariki mwaka 2020, jambo linalofanya iwe vigumu zaidi kukusanya ushahidi kuhusu iwapo Omar alidanganya kuhusu umri wake au kama baba yake ndiye aliyetoa taarifa zisizo sahihi kwa niaba yake.

Kwa mujibu wa aliyekuwa afisa mwandamizi wa uhamiaji katika Idara ya Haki ya Marekani, suala hilo la umri linaweza kuwa msingi muhimu wa kesi ambayo utawala wa Trump ungejaribu kujenga.

Gazeti hilo pia liliripoti kuwa maafisa wa kitengo cha uchunguzi wa usalama wa ndani cha Idara ya Usalama wa Taifa walichunguza madai yanayofanana wakati wa utawala wa aliyekuwa Rais Joe Biden, lakini hawakuendeleza uchunguzi huo kwa sababu hawakuwa na ushahidi wa kutosha wa udanganyifu.

Hata hivyo, gazeti hilo halikuripoti kwamba mtu yeyote amefungua kesi mahakamani akiomba uraia wa Omar ubatilishwe. Hatua hiyo ingehitaji mchakato wa kisheria mahakamani, kwani uchunguzi pekee hauwezi kubatilisha uraia wake wala kutoa idhini ya kumfukuza Marekani.

Gazeti hilo pia liliripoti kuwa chombo huru cha Bunge la Marekani kinachochunguza masuala ya maadili na uwajibikaji kilikuwa kimemwondolea Omar tuhuma za makosa kuhusiana na taarifa za mali zake zilizokuwa zimeonyesha thamani kubwa kuliko hali halisi.

Maafisa wa kitengo cha Homeland Security Investigations (HSI), ambacho ni sehemu ya Idara ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE), walipekua nyumba ya Omar kwa kutumia kile ambacho idara hiyo ilikiita “hati ya upekuzi iliyoidhinishwa na mahakama.”

Jumatatu asubuhi, maafisa walifunga barabara inayozunguka nyumba ya Omar na kuondoa masanduku yaliyoandikwa “Mali Zilizokamatwa kama Ushahidi.”

Omar, ambaye ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa mrengo wa maendeleo ndani ya Chama cha Democratic, amekuwa akikabiliwa kwa miaka mingi na mashambulizi ya Trump na washirika wake kutokana na asili yake ya Kisomali na historia yake ya uhamiaji.

Saa chache baada ya msako huo wa Jumatatu, Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba “hakuwa na uhusiano wowote” na upekuzi huo, akisema kwamba suala hilo “liko chini ya Idara ya Haki ya Marekani (DOJ).”
Huyo seneta, aludishwe kwao Somali, hqkuzaliwa USA, aliamia akiwa mtoto, baba yake alikuwa askari kwenye utawala uliopinduliwa, baba yake alikuwa kwenye kikosi chinja chinja kama alivyo mafwele,walipopinduliwa akakimbilia USA na watoto wake!
Haya, maislam, yakiwa kwao yakanyanyaswa na mifumo ya kiislam, yanakimbilia nchi za kikristo kuomba hifadhi, yakifika yanataka kuleta mifumo waliyoikimbia kwao USA! It's so mind confusing, aende kwao, nchi za, kiarab, Qatar, saudia, Yemen,
Haya maislam meusi ni shida Sana, yakiwa, kwa wa Islam wenzao wa Arab, yanabaguliwa kwa weusi wao, yakifika ulaya, yanataka kutuaminisha u islam na uarab ni mzuri!
Mzee Trump fukuza kabisa hizi kenge,
Utayasikia yakisema, "death to America" Yakiwa USA, kwenda, kwao, hayataki!
Yajaribu kuomba hifadhi Saudia, Qatar, Pakistan, harsfu yakiwa, kwenye hizo nchi, Yaseme Death to saudia! Yaone.
 
England kulikua na sheikh mmoja kutoka Misri anaitwa Abu Hamza Al -Masri, alihamia pale akapewa uraia na huduma zote.
Gafla akaanza mambo yao kama ya kina shekh Mwaipopo. 2004 wakamtia ndani miaka saba, 2012 wakamvua uraia halafu akarudishwa kwao Misri akahubiri jihad.
wakati mwingine, inashangaza sana , wakiwa huko waliko , hawana impact yoyote, wanakuja kutumia mifumo ya wenyeji wao , ni kama wenyeji walikosea kuwakaribisha au kuwafungulia milango, jihadhari sana na situation kama hizi maishani, hata mtu binafsi hizi zinatokea sana
 
U
Urai huo wa kuupata kwa ukimbizi huwa unaweza kufutwa dakika yoyote ukizingua. Hizo harakati zake akafanyie Mogadishu huko
Wamvue kisa nini, ukiacha kuangalia upande mmoja, na kufuatilia matamshi ya trump utajua shida iko wapi, wapo wakina Musk, waliletewa kashikashi kama hizo lakini ziliisha, in short raia wengi wa marekani sio wenyeji WA pale.

Ilhan Omar ni kiongozi ambaye ameaminiwa na watu kama kiongozi wao kwa miaka mingi, na bado anadunda. Zile ni siasa na kwenye uchaguzi hawawezi wakamshinda
 
Hana siasa zozote. Huyo anasukumwa na udini na mrengo wa kushoto. Ukitaka kujua hajielewi anapigania dini vilevile yupo mrengo wa kushoto(democrat)ambao wanapigania haki za ushoga na kutoa mimba.
Huyo dada kawaponza ndugu zake kwa ujinga wake. Anachopitia sasa hivi alikitafuta muda sana, kuna kipindi katika utawala ya Biden alichunguzwa baadae wakamuacha. Kwa hiyo siyo kwamba Trump ndo hamtaki ila ni mwendelezo
Kiongozi Mimi naheshimu mawazo yako.
Bifu la ilhan na trump, ni bifu lake na Israel, wametumia mamilion ya AIPAC kujaribu kumchafua na kuweka kiongozi ambaye ana ufuasi na Israel. Hili Jambo lipo muda lakini huyo bidada anakubalika Sana.

Fuatilia chaguzi zote alizoshiriki na kampeni zake utakuja kuniambia umegundua nini, badala ya kufanya siasa za kushawishi wananchi, wao wamewekeza kwenye propaganda za kumchafua mtu, ndio maana miaka mingi wameshindwa kwenye uchaguzi.
 
Hiyo ni USA na Trump hatafanikiwa. Hata Kukiwa na udanganyifu alifanya babake na sio yeye.

Hiyo case itafika mpaka Supreme Court. Kumnyang’anya mtu uraia sio jambo dogo.

Trump anatumia hii ili tu kuwafurahisha watu wake wa mlengo wa kulia na kuwafanya wengi waende kupiga kura.

Lakini mwisho wa siku hatafanikiwa.
All in All,nyie waislamu mlioko nchi za wazungu Rudini nchini kwenu mkamuabudu vizuri Allah
 
Na mimi pia naheshimu mawazo yako. Lakini Ilhan Omar ana shida kubwa ya Udini. Anahisi kwa sasa anaweza kusimika mizizi ya uislamu marekani na anatumia vibaya uhuru wa kujieleza katika kufikisha agenda zake za udini.

Ilhan mwenyewe anakula hela za Qatar ambazo imemwaga marekani hususan kwenye vyuo ili kuendesha kampeni za kiislamu ikiwemo free palestine.
Ni sawa pia huo ni mtazamo wake na kila MTU ana namna ya kulitazamia Jambo flani, lakini bado kwenye siasa wapiga Kura wanashawishika na ajenda zinazogusa shida zao.

Kama ilivyo mrengo wa pili wanavyopambana kumuweka mtu mwenye interest na Israel. Lakini bado kinachombeba huyo bidada na kushinda kila uchaguzi ni Sera zake, ndio maana bado ameweza kuwashawishi wapiga Kura wampigie Kura.

Na suala la Palestine Kwa mtizamo wangu sio la uislamu ni ubinadamu ndio maana hapo utawakuta south Africa na ICC , Spain na wengineo
 
Back
Top Bottom