Utawala wa Trump unataka kumnyang’anya Ilhan Omar uraia wa Marekani: WSJ

Waliwauwa kwa sababu zipi
 
Hatimaye ataenda kuishi kwao Somalia aikose vizuri Israel, kuwatukana US na kuishi kwa misingi ya sharia. Bahati iliyoje kwake. Sidhani kama atakuwa kapoteza chochote. Kuishi nchi za makafiri napo ni changamoto sana hasa ukiwa muislam safi.
Tanzania wasomali ni matajiri wakubwa Kenya ni hivo ,City Mall hapo Kisutu mmilk ni msomali na nchi nyingi.. Hawezi kuishi kwa taabu kama unavo ombea iwe,pambana mkuu.
 
Wewe jibu swali, sjakuambia Wana haki
 
Hata hueleweki unazungumzia nini, mijadala inaendaga Kwa facts sio matusi, kingine mimi sio MTU wa dini, sio hao waarabu wala Dini za hao wazungu, in short nishaachaga mambo ya hizo dini.

Wala sishabikii watu kuuana, Kwa hiyo jibu swali na uaache mihemko ya ajabu.
 
H
Ila unashabikia dini za waarabu. Ndo maana unatetea wapelestina wanapoua ila unalaumu wengine kwa kuwa wamewaua wapelestina. Acha unafiki wa kidini
Hakuna sehemu nimesema nashabikia Palestina wala Israel, Mimi nilikujibu Kwa nini ilhan mtazamo wake unaelekea vile, Jenga hoja. Sina chuki na Israel wala waarabu. Najua hao Israel wanasababu ya kutenda vile, na pia huenda hao wapalestina Wana sababu zao pia, na mitazamo yao inatofautiana.

Kwa hiyo kiongozi, jibu swali uache ngojera zisizoelewaka sinaga sababu ya kushangilia mauaji ya watu either israel au Palestine.
 
Kuwatetea waislamu napo kazi sana...hashindwi kuingia na vilipuzi bungeni huyo
 
Kama unamshabikia Ilhan Omar basi unashabikia mauaji ya Waisrael maana jambo la maana alilofanya ni kuimba free palestine na kuonesha utovu wa nidhamu kwa Trump.
Huna hata hoja, hakuna sehemu nimesema namshabikia ilhan. Jenga hoja na ujibu swali, hizi ngojera haziwezi zikakusaidia. Kwa nini trump anamuunga mkono mgombea mwingine? Ilhan kile anachowasilisha kwa wananchi ndio hichohicho kinachomfanya awe anachaguliwa kila uchaguzi na anapendwa kutokana na hoja zake.

Na hapo hapo kuna mikono ya AIPAC, wanampinga karibia kila uchaguzi lakini bado huyo bidada ana shinda, Angalia chaguzi alizowahi kushiriki na ameshinda ngapi ndio uje hapa.
 
Nishakuambia mimi sio MTU wa dini. Jenga hoja na ujibu swali. Una ushamba mwingi Sana.
 
ilhan omar,mtoto wa kanali wa jeshi la iliyekuwa seriksli ya siad barre,babake alikua kigogo na akawapeleka watoto US kukwepa civil war,alitakiwa ajuwe jinsi ya kuuchunga mdomo wake,,yule mwehu Trump atamrudisha mogadishu kimzaha mzaha
 
Mbangubangu anajadili maisha ya US huku kwake anaishi kama digidigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…