Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Huko Marekani kama wewe ni mgeni ukiunga mkono Hamas au Wapalestina hadharani dola inakutia nyavuni na kukurudisha kwenu.
Kuna video mojawapo ya ikimuoneysha mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Rumeysa Ozturk kutoka Uturuki anayesoma chuo kikuu cha Tufts ikionyesha maafisa uhamiaji(ICE) wakimtia nguvuni, inasemwa visa yake imeshafutwa na anaandaliwa kurudiahwa kwao Uturuki.