Utawala wa Trump yaagiza kuondolewa kwa baadhi ya maonyesho ya utumwa katika hifadhi za taifa

Utawala wa Trump yaagiza kuondolewa kwa baadhi ya maonyesho ya utumwa katika hifadhi za taifa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Idara ya Mambo ya ndani ya Marekani imetangaza kuwa mabango yote ya maelezo kwenye hifadhi za taifa yapo chini ya ukaguzi, hatua inayokuja wakati wa utawala wa Rais Donald Trump ambao unadaiwa kujaribu kubadili namna historia na urithi wa Marekani unavyosimuliwa. Gazeti la 'Washington Post' linaripoti kuwa serikali imeagiza kuondolewa kwa mabango na maonyesho yanayohusiana na utumwa katika hifadhi kadhaa za taifa, yakiwemo picha za kihistoria za watumwa wa zamani

Wanaharakati wa haki za kiraia wamesema hatua hii ni jaribio la kufuta au kupunguza kutambua hatua muhimu za kihistoria, hasa zinazohusu ukandamizaji na utumwa. Trump mwenyewe alishawahi kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna msisitizo “kupita kiasi” kuhusu madhara ya utumwa, na ametishia pia kuingilia Taasisi ya Smithsonian ambayo ni nguzo muhimu ya makumbusho na elimu ya historia ya Marekani – kama alivyowahi kufanya kwa vyuo vikuu kwa vitisho vya kupunguza ufadhili

Kwa mujibu wa agizo lililopewa jina 'Restoring Truth and Sanity to American History', ukaguzi wa maelezo kwenye hifadhi zote za taifa unaendelea, ingawa wizara hiyo imepinga taarifa za 'Washington Post' ikiziita “narrative ya uongo.” Wakati huohuo, Ikulu imetangaza mpango wa kufanya mapitio ya ndani ya baadhi ya makumbusho ya Smithsonian. Trump ameendelea kutishia kufuta ufadhili wa serikali kwa taasisi za elimu zinazomuudhi kisera, ikiwemo kuhusu vita vya Gaza, sera za jinsia, mabadiliko ya tabianchi na programu za usawa na ujumuishi

1758090440500.png

Moja ya picha yenye kumbukumbu za utumwa inayodaiwa kutaka kuondolewa

1758090650377.png

=========

The U.S. Interior Department said all interpretive signage in national parks was under review as President Donald Trump's administration attempts to reshape public spaces and museums in a way that rights advocates say could undo decades of social progress

The Washington Post reported late on Monday that the Trump administration has ordered the removal of signs and exhibits related to slavery at multiple national parks, including a historic photograph of a formerly enslaved man showing scars on his back. The National Park Service is a part of the Interior Department. Interpretive signs in national parks and other areas provide written and visual information about their history and cultural heritage.
Civil rights advocates say the Trump administration is undermining the acknowledgment of critical phases of American history

Trump suggested last month he will pressure the Smithsonian Institution - a premier museum, education and research complex for U.S. history and culture - just like he has pressured colleges and universities by threatening to cut federal funding

In a social media post on August 19, Trump complained about what he called excessive focus on "how bad Slavery was."

"In accordance with Secretary's Order No. 3431, Restoring Truth and Sanity to American History, all interpretive signage in national parks is under review," the Interior Department said late on Monday.
It added, however, that the Washington Post's report was driving what it called a "false narrative," without elaborating

Trump has accused the Smithsonian of spreading "anti-American ideology."
The White House has said it will lead an internal review of some Smithsonian museums. Most of the museums of the Smithsonian - which was established in 1846 and includes 21 museums and galleries and the National Zoo - are in Washington

Trump has made threats to cut federal funding of educational institutions over pro-Palestinian protests against U.S. ally Israel's war in Gaza, transgender policies, climate initiatives and diversity, equity and inclusion programs

Source: Reuters & The washington post
 
Mimi naona yuko sahihi. Hakuna sababu kila siku kukimbushana mambo ya zamani, huku mengine yakiwa na harufu ya udhalilishaji au kuendeleza unyonge kwenye jamii.
 
Afute tu Ina wafanya waafrica wawe dominant
 
Back
Top Bottom