Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Aisee yani kama anajiogopa kila mtu anamuona ana msaliti.
Kanogewa na madaraka mpaka kufikia kuweka mashushu wake toka visiwani kila idara ili ukileta jambo la kukataa basi unaliwa kichwa au kupotezwa.
Sasa unaweka watu kizuizini mpaka watu walioamua kujitenga na wewe na uliwanyima wasiwe serikalini mwako.
Ile kauli ya mashaikh kuwa kwa nini nchimbi ajazungumza nimeamini sasa ilikuwa mshapanga.