Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
+++ 🤝🤝🤝Kwa mimi nilivyokua sijui kubembeleza hapo nikirudi namsalimia asiponiitikia naenda kuoga naenda kulala simsemeshi pia, asiponiita kula nalala njaa hivyo hivyo asubuhi nasepa usiku nakula huko huko mtaani jion narudi kulala tu
AsanteLife is very short,
Kwanini uishi na mtu asiyekupa furaha? Kwani yupo peke yake tu hapa Duniani?
Shtuka mkuu,usipoteze muda wa uhai wako kwa mateso kisa kumfuga binadamu mwenzako na kisha anakukera,
Piga chini hiyo Mbuzi.