Utawezaje kuishi na mwanamke Mwenye kinyongo

Utawezaje kuishi na mwanamke Mwenye kinyongo

et haki ya ndoa..🤣
tulishasema hakuna kuoa lkn bado mnahangaika na ndoa! mtatolewa vizazi hivyo!.

hapo anakuonyesha "kinyongo" hicho kinyongo kikikuwa atakuonyesha "linyongo"!. ndo baadae unasikia mtu kanyofolewa vinyanya mshenzi!.
Vp ww unanyonga nyoka au unaishije
Ukute tunaongea na towashi
 
Kwa mimi nilivyokua sipendi kelele alafu sijui kubembeleza hapo nikirudi namsalimia asiponiitikia naoga naenda kulala simsemeshi pia, asiponiita kula nalala njaa hivyo hivyo kesho yake asubuhi nasepa usiku wake nakula huko huko mtaani narudi kulala tu.
Hapo hata hamu ya kula haipo.
 
Kama hujamuoa achana nae hata usijitese kutafuta namna ya kuishi nae
 
Back
Top Bottom